Simba na Azam ambazo unasema zinawachezaji wazuri zilikua na Yanga katika mashindano ya CAF na zote zimetolewa mzunguko wa kwanza, kwasasa zina galagala mchangani. Kuifananisha Yanga na izo timu zinazo galagala mchangani ni Matusi.Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.
Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana bado kabisa. Tafuteni wachezaji wenye uwezo kimpira kuliko vijana mlio nao sasa hivi. Majirani zenu Simba na Azam wana wachezaji wazuri na wanafanya vyema uwanjani.
Kwa mchezo ule wa jana watakapokutana na Pyramids basi tutazungumza mengine. Sajili vijana wenye uwezo acheni kuokota wachezaji kwa majina mfano Ngassa kiwango chake kimeshuka sana na umri pia umeenda.
Bado nazidi kusema mimi ni shabiki mkubwa wa Yanga nashauri tena imarisheni timu yetu.
Hao wenye wachezaji wazuri wanacheza mashindano mangapi,kama kweli unafuatilia mpira vizuri na Yanga yetu,Jana at least strikers wamefanya attempt nyingi kwenye lango la adui,Yanga mpaka sasa tunashida ya kiungo wa kuwachezesha washambuliaji.Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.
Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana bado kabisa. Tafuteni wachezaji wenye uwezo kimpira kuliko vijana mlio nao sasa hivi. Majirani zenu Simba na Azam wana wachezaji wazuri na wanafanya vyema uwanjani.
Kwa mchezo ule wa jana watakapokutana na Pyramids basi tutazungumza mengine. Sajili vijana wenye uwezo acheni kuokota wachezaji kwa majina mfano Ngassa kiwango chake kimeshuka sana na umri pia umeenda.
Bado nazidi kusema mimi ni shabiki mkubwa wa Yanga nashauri tena imarisheni timu yetu.
Yes yule ni mchezaji mkuuYule dogo aliyepewa unahodha wa Mbao fc (Said Hamis Junior), anastahili kabisa kuchezea Yanga kuliko hata wale Maproo Kalengo, Issa Bigirimana na Patrick Sibomana. Ana kipaji kikubwa sana kama ilivyo kwa Ditram Nchimbi.
Tulipocheza mpira mbovu na polisi mlisema hv hv "kwa mpira huu na Zesco mtakula nyingi" mwisho wa siku mlijionea wenyewe pira jingi lililopigwa kitu usichokifaham Yanga pamoja na matatizo yetu yaani tunapokutana na timu nzuri ndio tunaenjoy sana karibu jpili pale Kirumba!Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.
Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana bado kabisa. Tafuteni wachezaji wenye uwezo kimpira kuliko vijana mlio nao sasa hivi. Majirani zenu Simba na Azam wana wachezaji wazuri na wanafanya vyema uwanjani.
Kwa mchezo ule wa jana watakapokutana na Pyramids basi tutazungumza mengine. Sajili vijana wenye uwezo acheni kuokota wachezaji kwa majina mfano Ngassa kiwango chake kimeshuka sana na umri pia umeenda.
Bado nazidi kusema mimi ni shabiki mkubwa wa Yanga nashauri tena imarisheni timu yetu.
Usajili wa Dirisha Dogo wamchukue Ditram Nchimbi na Said Hamis basi. Halafu Mapro wote waondolewe isipokuwa Shikalo, Lamine Moro, Papy Tshishimbi na Molinga. Timu itakuwa vizuri.Yule dogo aliyepewa unahodha wa Mbao fc (Said Hamis Junior), anastahili kabisa kuchezea Yanga kuliko hata wale Maproo Kalengo, Issa Bigirimana na Patrick Sibomana. Ana kipaji kikubwa sana kama ilivyo kwa Ditram Nchimbi.
Mkuu hao ni wachezaji wa mechi moja coz anatafuta usajiliYule dogo aliyepewa unahodha wa Mbao fc (Said Hamis Junior), anastahili kabisa kuchezea Yanga kuliko hata wale Maproo Kalengo, Issa Bigirimana na Patrick Sibomana. Ana kipaji kikubwa sana kama ilivyo kwa Ditram Nchimbi.
Mkuu hao ni wachezaji wa mechi moja coz anatafuta usajili
Hakuna shabiki wa Yanga mpumbavu.Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.