Ushauri kwa TFF

9inone

JF-Expert Member
Jan 23, 2017
774
319
TFF napenda niwapongeze kwa maandalizi ya mchezo kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga kwani mambo mengi yalienda vizuri Isipokuwa napenda niwakumbushe kuhusu swala zima la tiketi kwani kwa kitengo hiki bado hamjakidhi ubora wa mlaji(mashabiki) wanaoingia uwanjani kwa usumbufu wa kadi zao kusumbua mara watakapo kuingia uwanjani. Ni matumaini makubwa sasa kupitia changamoto hiyo mtachukua uamuzi wa kuweka kadi zenye ubora kama wenzetu wa majuu na kuwa suluhisho bora kwa mashabiki. Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom