Wazalendo hawawezi kutengenezwa kwa mfumo huu, maisha tabu, kusoma tabu, kupata chuo tabu na kupata ajira tabu yaani kila kitu ni tabu tabu tuuuuu, hapo ndo umwambie mtu aipende nchi yake na awe mzalendo, thubutuuuuu. wanatengeneza mifumo kandamizi ili tu wanafunzi wakose mikopo, watoto wana pressure toka kipindi wanajiandaa kufanya mitihani, kipindi wanafanya mitihani, kipindi wanasubiri matokeo, kipindi wanafanya application na zaidi kipindi hiki wanahangaika na hayo MA-CODE, MULTIPLE na takataka zingine kibao