Ushauri kwa SERIKALI....

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,380
USHAURI kwa Serikali.

Tunapo anza ziara za Mwenge wa Uhuru kuuzungusha Nchi nzima ni vyema kukawa na picha au T-shirt za waasisi wa Taifa hasa kipindi tunapata Uhuru. Pia hotuba ziwe zinakumbusha waasisi wa Taifa hasa Baraza la kwanza la Mawaziri na Viongozi wa kwanza wa TANU na wale Wanaharakati waliosaidia kupatikana kwa Uhuru ni vyema kukawa na hotuba. Mungu akinijalia nitatoa kitabu "MWENGE WETU WA UHURU na WAASISI WA TAIFA"

Deogratius Nalimi Kisandu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1484974540151.jpg
    FB_IMG_1484974540151.jpg
    16.1 KB · Views: 27
Back
Top Bottom