kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,867
- 2,754
Kwanza kabisa SERIKALI itambue kwa sasa kampuni haina wataalam wa kuliendesha shirika so mtaji wowote utakaowekwa utayeyuka kutokana na uongozi mbovu uliopo sasa hivi.
Pia marubani na mafundi ndege wote wamefikia umri wa kustaafu. Kwa hiyo kabla ndege hazijaja ni heri kukodi au kuajiri utaalam kutoka nje wenye uelewa wa masuala ya anga na wafanyakazi wasailiwe upya kupata watu watakaoweza kufanya kazi vizuri.
Nakumbuka Mufuruki alisema hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuendesha airline.
Kwa kweli hakukosea ni hakuna hata mmoja.