Ushauri kwa ndugu Walimu

Hatimaye uchunguzi umebaini kuwa wewe ni Mwalimu mwenye elimu ya Diploma. Tunakusaka tukufungulie mashitaka. Unawachochea wenzio kwa kutumia Saikolojia. Lengo waigomee serikali, jamii na watu wengine. Usirudie tena kufanya uchochezi, kada zote serikalini ni sawa tu. ACHA UCHOCHEZI. Serikali ina mkono mrefu na haupo salama hapo ulipo mpwayungu village
 
Weee "mkoroni" ndiyo nini hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…