Ushauri kwa ndoa za Mashaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa ndoa za Mashaka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tongue blister, May 21, 2010.

 1. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2010
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Week end imeanza...!

  Kwa wale walio olewa au kuoa wana jeshi mna shauriwa sana, mnapokuwa mmelala majumbani mwenu msikubali kabisa wenza wenu wakalala usingizi fofofo na kuanza kuota, Kwani akiota tu kwamba mpenziwe au mkewe ana fanya mapenzi na wanaume mwingine au mwanamke mwingine ujue umeumia kwani ata kwenda kutafuta smg usiku huo huo, Akianza kukoroma mtingishe aamke. Hakikisha humpi nafasi ya kusinzia.
  Pia mjihadhari na majibu ya mkato mkato kwa wenzi wenu, mfano, utajiju, topic clossed, usiniulize mimi n.k.

  Majibu ya jinsi hii yanaweza kumsababisha mwenzi wako kwenda lindoni na kurudi na SMG na kukutawanya ulivyokula jana na juzi.

   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  May 21, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Sasa sisi wengine tukilala ndio gari imezima mazima itakuwaje au ndio itakula kwetu?
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Utaamkia Mbinguni usihofu kwi kwi kwi kwikwi
   
 4. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,026
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Kila mtu antaka kwenda mbinguni; hivyo hatuachi kulala fofofo. Wakituua shauri lao na roho na wivu wao wa kijinga
   
Loading...