USHAURI KWA MWIGULU NCHEMBA

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
9,369
Reaction score
18,455
Picha hii zinajieleza, moja wakati unaapishwa na nyingine wakati anaapishwa IGP mpya siro.



Bashasha,tabasamu,matumaini na mategemeo makubwa kwamba utafanya kile anachohitaji.





Umbo la midomo, kutazama pembeni, uwekaji wa macho na uso unaonyesha wazi kiwango kikubwa cha kutoridhishwa na kutokubaliana nawe. Pengine na maapizo ya kukutafutia nafasi muafaka!

Ni wakati wa kuruka kabla ya kurushwa. Heshima yako ibaki pale pale bila neno kutumbuliwa kuharibu fikra zako.
 
Mdomo wa Magu ni kama unasema...''Sijui nimpangie kazi ya ukimbizaji wa mwengee"
Shubaaamit!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…