Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,168
Mwambie rafiki yako ndoa nyingi zipo hivyo hivyo,(watu wengi wameoa/kuolewa na watu ambao hawakuwapenda/sio machaguo yao)
Amshukuru Mungu kwa kumpa asichokiomba.
Halafu sijui kwa nini inakuaga hivyo.
Mwambie mshkaji wako anipe namba za huyo demu
Mwambie jamaa yako , akimuacha, tunalianzisha upyaa kunyea Ndoo
Ayaa.
Mwambie jamaa yako , akimuacha, tunalianzisha upyaa kunyea Ndoo
Ayaa.
Unapewa unachostahili siyo unachokitaka. HahaaMwambie rafiki yako ndoa nyingi zipo hivyo hivyo,(watu wengi wameoa/kuolewa na watu ambao hawakuwapenda/sio machaguo yao)
Amshukuru Mungu kwa kumpa asichokiomba.
Halafu sijui kwa nini inakuaga hivyo.
[emoji120][emoji120][emoji736][emoji736][emoji736][emoji1][emoji1][emoji1]Tamaa ya pisi kali wanywa Castle, wavaa visuruali vilivyochanika mapajani, wanaotembea na simu zinazozidi kipato chao, wanaojipamba kwa vitu artificial ndio inamsumbua.
Mwambie anachokitafuta atakipata.
Huyo ndiye mke wake, ukishakabidhiwa na wazazi hiyo ndio ndoa, ndoa sio ule ubwabwa wa ukumbini wala si vile vigelegele vya kanisani.