Ushauri kwa mnaotaka kuoa

Ushauri kwa mnaotaka kuoa

belionea

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
1,053
Reaction score
923
Kama huna moyo wa chuma, usioe ndoa inataka wanaume sio wavulana.

Ndio mana ndoa nyingi siku hizi hazidumu pia biblia inasema enyi wanaume ishini na wake zake kwa akili otherwise ndoa itakushinda.
 
hahahaha kweli ni raha ukimpata mtu anaejua maisha ni nn
 
Wanaume wengi siku hizi ni kina "baba salehe" lazma waone ndoa chungu
 
Back
Top Bottom