napenda kuwapa ushauri wa kuweka ata picha. Nazani Picha ni moja ya kichocheo ya kuweza kupata mwenza mapema na kwa haraka. Sasa huwezi pata mwenza wakati hajakuona ata picha yako