Ushauri kwa mliochaguliwa vyuo vikuu

Ww ndo umewadharau masela kwa kuita vyuo vya kijinga na maneno kibao ya shombo nahisi una Master In Cooking

Unauma halafu unapuliza
Mbona hiyo ID inaonyesha wewe ni mtu wa namna gani!

Nyie si ndo masharobalo niliewapa makavu hapo juu?

Ndio vipo vyuo visivyokua na hadhi na tuna watoto wanasoma huko wanatuambia zinavyotolewa maksi za bure! tena wajua sababu ya kufungwa st joseph wewe?

Dogo kale bangi na mademu halafu baada ya miaka 3 utuletee mrejesho wa mafanikio yako.
 
Tushaambiwa na wazaz etu tumeelewa ila ww mwenye hii thread hvyo vyuo vya kjnga ulvyosema wavijua inaa maana hao TCU waliovptisha hvyo vyuo vidahili wanafunz ni wajnga pia
 
Mkuu Ahsante kwa kutuelimisha.
Maana nilvyokua nimepania kuwafunua sket.
Ngoja nikatulie tu
 
Sipendagi ujinga Mimi[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Jamani nimedisco hata chuo sijaenda? Tamko linaweza toka kuwa sistahili hata mkopo
semista ya kwanza hoi na mkopo umepewa utazuga semista ya pili ila unakuwa usha disko noma sana......
 
Mkuu....
Uta waua hawa vijana kwa jakamoyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kuwaambia mapema mkuu ili wajiandae na kufanya maandalizi ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…