king can janja Member Joined Feb 14, 2018 Posts 21 Reaction score 1 Oct 28, 2018 #1 Dr ,natumaini umeamka vyema,mimi shida yangu unisaidie kwa mke wa mimba ya kwanza ya mwezi mmoja,Nitumie utaratibu gani maana tumbo linamuuma kila dakka na pia ni chakula gani kinachomfaa zaidi.!Asante
Dr ,natumaini umeamka vyema,mimi shida yangu unisaidie kwa mke wa mimba ya kwanza ya mwezi mmoja,Nitumie utaratibu gani maana tumbo linamuuma kila dakka na pia ni chakula gani kinachomfaa zaidi.!Asante
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,638 Reaction score 220,409 Oct 28, 2018 #2 Mimba ya mwezi mmoja bado iko chini hivyo sex msifanya mkomoeni pia epuka dog style kwa sasa.
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 16,025 Reaction score 27,365 Oct 28, 2018 #3 Hivi unaanzaje kuiepuka doggy kwa mwenye chura.? Sky Eclat said: Mimba ya mwezini mmoja bado iko chini hivyo sex msifanya mkomoeni pia epuka dog style kwa sasa. Click to expand...
Hivi unaanzaje kuiepuka doggy kwa mwenye chura.? Sky Eclat said: Mimba ya mwezini mmoja bado iko chini hivyo sex msifanya mkomoeni pia epuka dog style kwa sasa. Click to expand...
Gyole JF-Expert Member Joined Sep 20, 2013 Posts 7,008 Reaction score 7,115 Oct 28, 2018 #4 Ale chakula chochote anachoweza kula kwa sasa
king can janja Member Joined Feb 14, 2018 Posts 21 Reaction score 1 Oct 28, 2018 Thread starter #5 Sky Eclat said: Mimba ya mwezi mmoja bado iko chini hivyo sex msifanya mkomoeni pia epuka dog style kwa sasa. Click to expand... Nashukuru,mimi nlivyokuelewa nisisex naye kiukweli nimeshafanya Je kuna madhara !
Sky Eclat said: Mimba ya mwezi mmoja bado iko chini hivyo sex msifanya mkomoeni pia epuka dog style kwa sasa. Click to expand... Nashukuru,mimi nlivyokuelewa nisisex naye kiukweli nimeshafanya Je kuna madhara !
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,638 Reaction score 220,409 Oct 28, 2018 #6 king can janja said: Nashukuru,mimi nlivyokuelewa nisisex naye kiukweli nimeshafanya Je kuna madhara ! Click to expand... Fanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka.
king can janja said: Nashukuru,mimi nlivyokuelewa nisisex naye kiukweli nimeshafanya Je kuna madhara ! Click to expand... Fanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka.
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,806 Oct 28, 2018 #7 Sky Eclat said: Fanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka. Click to expand... Mimba za sikuhizi mbona zinamasharti sana, staili ni staili tu mimba ikishaingia kutoka siyo rahisi
Sky Eclat said: Fanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka. Click to expand... Mimba za sikuhizi mbona zinamasharti sana, staili ni staili tu mimba ikishaingia kutoka siyo rahisi
chlorine gas JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 2,544 Reaction score 2,694 Oct 28, 2018 #8 Sky Eclat said: Fanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka. Click to expand... Samahani doctor Mana kuuliza sio ujinga maziwa ya mtu mwenye mimba yana anaza kua magumu mimba ikiwa na miez mingapi??
Sky Eclat said: Fanyeni kwa pleassure si tena ile ya kunyweana konyagi. Missionary style ndiyo kwake kwa sasa. Ukifanya kwa nguvu mimba inachoropoka. Click to expand... Samahani doctor Mana kuuliza sio ujinga maziwa ya mtu mwenye mimba yana anaza kua magumu mimba ikiwa na miez mingapi??