Ushauri kwa mashabiki na wadau wa soka

Jack Daniel

JF-Expert Member
Sep 23, 2021
2,150
10,393
Kwanza nianze na kuwapongeza Yanga kwa kutwaa ngao ya jamii ikiwa ni sehemu rasmi kabisa ya kufungua pazia la ligi kuu.

Wakati usajili unaendelea Kila timu ilikuwa na tambo za namna yake hususani hizi timu mbili za Kariakoo,
na jaribio la kwanza kabisa kwa Kila mmoja, alitest mitambo yake,

Naanza na Yanga,

Huyu wakati wa wiki ya mwananchi kwenda kuwatambulisha wachezaji
Aliialika timu ya Vipers ya Uganda ambao ni mabingwa wa ligi ya kule

Nilichogundua siku Ile ni kwamba mashabiki wengi bado hatujaujua mpira vizuri , labda kwakuwa Vipers waliharibu sherehe na shughuli yetu, lakini nikiri wazi kimpira wanatuzidi mbali sana Yanga.

Kwa maana hiyo mashabiki wa Simba wakapata point kuona Yanga Ina kikosi kibovu sana, kwanini ifungwe?

Lakini na wao kwenye kilele Cha Simba wakichagizwa na kaulimbiu yao, ya sijui Unstoppable walijikuta wanaitandika timu inayoshiriki ligi kuu ya Ethiopia ya mtakatifu George wakajikuta Wana kikosi kizuri na Cha kuvutia.na Kuna mmoja aliniahidi endapo Yanga akichukua Tena ngao atanijazia mafuta kwenye gari full tangi hivyo nikitoka kanisani namtafuta

nisiwe na maneno mengi
Niwakumbushe tu kuwa,

Hata goli mlilopata kupitia Sakho wala si halali lakini pia hamna striker wa kuamua matokeo.

Mngekuwa walau mna striker viwango vya Cezar Manzoki ambaye mmetamanisha kama gari aina ya Rolls Royce lakini unaishia kuitazama tu maana Kuna uwezo wa kuinunua,huku ukiishia kumiliki Carina

Basi niwaambie tu mashabiki kuweka akiba ya maneno, maana naamini kwa mwendo huu wa timu yangu ya Yanga,

Naziona points sita hizi hapa za bure kabisa, na sare basi nitakuwa nimefungwa Mimi.

Hongera Engineer
Hongera Yanga nzima
Hongera Mayele

Ushauri tuwe na akiba ya maneno, mpira ni dakika tisini.
 
Anza wewe.. jiwekee akiba ya maneno.
 
Wewe ni shabiki lia lia wa Yanga. Sisi wale twarukaa kimataifa
 
Back
Top Bottom