The simple one
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 264
- 347
Kuna aina mbili za kichaa/vichaa @1.kichaa anaemwona kichaa @2.kichaa mwenyeweKwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Mkuu akienda ktk page ake unipe mrejesho hawezi sasa sis tumsaidiaje huyu si akamwambie mange uko khaa!!Uoga n kitu kibaya Sana, nenda pale insta kamwambie hivyo
Watu wanaotumika matundu yote ya miili yao kama huyu wana shida sana......Mange ni jeshi kubwa kuliko hilo la sizonje wenu,Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Bashite anawaumiza kichwa eeh? Yule sio level yenu mumkome, na pale hawezi kutoka ng'oo, aaaaaaah aaah aliyepewa mheshimu riziki yake ni pana, mange ni fungu la kukosa, mfamaji tu hana A wala BWatanzania bana et atafute kazi...kazi ipi ambayo wewe unahitaji atafute na aifanye???? Mtaacha Lin kuwaelekeza watu wasiowahusu aina ya maisha mliyoyakrem?
Wewe unahtaj ushauri wa kujua mtu akichagua maisha yake n yakwake wewe hayakuhusu hata chembe...
Unapungua nn mange kushinda insta? Ulimsomesha kias kwamba unaona hafanyi kaz basi haupat rejesho la ada yako kwake?
Acha mambo za kipuuzi....
Mshauri bashte atukomeshe aweke vyeti wazi
digidigiπππππKwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Nakuona kada ktk ubora wako. Kwa hiyo wewe kwa akili yako ndogo unaona kila anayepost mambo mtandaoni hana kazi?Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Mwoga kweli wewe,unaacha kumfuata insta unatuandikia sisi huku,kwani nayeye yuko humu forum?,usiogope mfuate huko insta.Kwako Dada yangu Mange kimambi, hivi unajua kuwa wewe ni mwanamke mrembo, msomi na una familia nzuri tu, tunajua una Cv nzuri tu, umesoma Dubai na ukabahatika kufanya kazi bank kadhaa Dubai which is a good credit that unaweza kufanya kazi sehemu yeyote ile, kwa nini usitafute kazi huko US ufanye?
Why unaishi kama digi digi ambaye hana mbele wala nyuma, kutwa upo instagram kuchafua watu ,unamkashifu makonda kuwa ana vyeti fake,wewe mwenzetu vyetu vyako mbona umefungia ndani ? Kama wasomi wenyewe ndo wa type kama yako aiseeh ni haki tukiongozwa na akina makonda ambao unadai ni vilaza ,usomi wako hauna faida yeyote ,elimu uliyoipata dubai ni sifuri dada yangu maana haijakusaidia chochote, ni bora hata akina bashite
Mbona yeye anawatukana watu akiwa IS si aje bongo kuwatukana huku kama hawajamkeketa makalio, mxieee anaogopwa bashite peke yake mwenye dola yake sio huyo kahaba mwendo kasiMwoga kweli wewe,unaacha kumfuata insta unatuandikia sisi huku,kwani nayeye yuko humu forum?,usiogope mfuate huko insta.
Aaaah ndo akaonewq huruma akaoelwa as house girl tu azae watoto basi