Ushauri kwa Mamlaka husika Kigamboni

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Ushauri katika Mamlaka husika Kigamboni ni kuwa kuna TAXI zinapaki kwenye njia ya kutokea abiria kwenye Kivuko zinapaki njiani ambapo ni kero kwa abiria.Kama walivyofanya kwa Daladala kwa kuwahamishia karibu na Kanisa la KKKT sasa njia ni shwari,hivyo wafanye vivyo hivyo kwa TAXI hivyo ili zihame sehemu ya kupita abiria iwe wazi.Kama mwananchi nitashukuru kwa ushauri wangu kufanyiwa kazi.Ajali zinazohusisha magari na watu hutokea kwa magari na watu wanaotaka Jeshini na Chuoni na kwa watu wanatoka kwenye Pantoni kwenda kwenye Daladala kutokana na TAXI hizo kuziba njia.Madereva wengine wa TAXI hizo ni daywaka au malena.Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom