Tendeni haki msitingishwe.
Kama mtu kafaulu apewe maksi zake.
Kama kafeli arudie mtihani no mercy!
Hakuna huruma, lazima mtu apate haki yake.
Msiogope siasa na wanasiasa simamieni miiko na taratibu zenu bila kusahau haki!!
Chapeni kazi taifa linawategemea!!