Naelewa hilo kutoa ushauri si mbaya. Najua wao wako na expert na experience kwenye hii sector. Mm taaluma yangu haiandamani kabisa na IT na haitokuja iandamane. Hivyo kama kuna mwanaJF au jamiiforum wenyewe wanaweza chukua wazo au wasilijukue.hiyo si lazima jamiiforum wafanye hata wewe unaweza kufanya
Mkuu ajiri wataalamu wapo una bonge la wazo acha uoga aanza you mradiNaelewa hilo kutoa ushauri si mbaya. Najua wao wako na expert na experience kwenye hii sector. Mm taaluma yangu haiandamani kabisa na IT na haitokuja iandamane. Hivyo kama kuna mwanaJF au jamiiforum wenyewe wanaweza chukua wazo au wasilijukue.
Sio uoga mkuu...ni kuwa mfuko wangu hautoshi kuajairi wataalamu. Nilijaribu kumshirikisha mtu tufanye partnership yeye atoe skills mimi nitoe assets kama computers n.k jamaa akasuspend baada ya kupewa shavu na wahindi. So any one can do it.Mkuu ajiri wataalamu wapo una bonge la wazo acha uoga aanza you mradi
"Try and fail but never fail to try" start again mkuuSio uoga mkuu...ni kuwa mfuko wangu hautoshi kuajairi wataalamu. Nilijaribu kumshirikisha mtu tufanye partnership yeye atoe skills mimi nitoe assets kama computers n.k jamaa akasuspend baada ya kupewa shavu na wahindi. So any one can do it.
ok nimekuelewa ila unapoiona fursa itumie bila kuangalia kama umeisomea au vipi we hujawahi kuwaona madereva wa Lori wanagombea urais wanashinda ila maprofesa wa siasa wanagaragazwaNaelewa hilo kutoa ushauri si mbaya. Najua wao wako na expert na experience kwenye hii sector. Mm taaluma yangu haiandamani kabisa na IT na haitokuja iandamane. Hivyo kama kuna mwanaJF au jamiiforum wenyewe wanaweza chukua wazo au wasilijukue.
Ni kweli mkuu shida siko huko kwa Mh. Magufuli natafuta maisha huku duniani. So mlioko bongo hii ni fursa. Ila nikimaliza muda wangu huku bado vijana huko wanalala nitakuja nianzishe hii project."Try and fail but never fail to try" start again mkuu
Nimetoa hii kama moja ya sababu na pia kuna sababu nyingi zimefanya nisiweza fanya hili lejea majibu yangu kwenye comment yangu hapo juuok nimekuelewa ila unapoiona fursa itumie bila kuangalia kama umeisomea au vipi we hujawahi kuwaona madereva wa Lori wanagombea urais wanashinda ila maprofesa wa siasa wanagaragazwa
Mkuu sijasema iwe mbadala wa JF ila iwe different project. Kama ilivyo whatsapp na instagram..kuna limitation nyingi za kutumia jamiiforum na haipo easily accessible na watu aina fulani. Hili linahitaji mtu kujua zaidiKitu kikubwa kinachotufanya tuwe JF ni kutojulikana kama wangekuwa wanataka iwe kama unqvyosema wangetengeneza app kama FB
Hahah nyie wazee wa CHAPUTA ndio tatizo. Kila kitu mnafikiria madhara yake kwenye mambo yenu. Kuna haja ya kuja na list yenu mmeamua kutumia viungo vyenu kwa njia zisizo kusudiwa na mwenyazi Mungu hahahaHatutaki app kama ya Whatsapp, TCRA watatutoa roho zetu, sasa hivi hatuna amani kwa kukaguliwa mpaka video na picha kwenye sim zetu, ukikutwa na mzigo wa kutafutia kasi hata ya CHAPUTA BAFUNI sentro inakuhusu. Yanini zahma jingine tena
JF web na app inatutosha sana tu.
Ujipangeje jamaaa na mtaji unaoDuu basi poa subiri nijipange
Mawazo yako ni mtaji tayari , ukiya draft vyema unakopesheka unaanza kuingiza pesa jamaaMtaji upi unazungumzia mkuu.