Mkuu mtafutie mume tu aoleweNawasalimia ndugu zanguni,mm nina mdogo wangu ambae nimeamza kumsomesha akiwa darasa la tatu mpaka la saba akafaulu nikampeleka shule moja ya private hapo Dar shule ya Mbezi high.Sasa amemaliza kidato cha nne hakufaulu ila amepata 4 ya 31 kwa maana yakuwa na D nne na F tatu.Alikuwa anachukuwa mchepuko wa biashara na akapata hicho alicho kipata
Sasa kumrudisha shule sitaki nae hataki wala masuala ya kurist hayataki kulingana na suala la uchumi lilivyo.Kumbuka yeye ni mtoto wakike huwa wanakata tamaa mapema.Ninachoomba ni ushauli naweza mpeleka chuo?je anaweza soma course gani na wap ?nisaidieni jamani nakosa la kufanya.Nitashukuru kwa ushirikiano wenu.
Nawasalimia ndugu zanguni,mm nina mdogo wangu ambae nimeamza kumsomesha akiwa darasa la tatu mpaka la saba akafaulu nikampeleka shule moja ya private hapo Dar shule ya Mbezi high.Sasa amemaliza kidato cha nne hakufaulu ila amepata 4 ya 31 kwa maana yakuwa na D nne na F tatu.Alikuwa anachukuwa mchepuko wa biashara na akapata hicho alicho kipata
Sasa kumrudisha shule sitaki nae hataki wala masuala ya kurist hayataki kulingana na suala la uchumi lilivyo.Kumbuka yeye ni mtoto wakike huwa wanakata tamaa mapema.Ninachoomba ni ushauli naweza mpeleka chuo?je anaweza soma course gani na wap ?nisaidieni jamani nakosa la kufanya.Nitashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mnunulie mtumbwi awe mvuviNawasalimia ndugu zanguni,mm nina mdogo wangu ambae nimeamza kumsomesha akiwa darasa la tatu mpaka la saba akafaulu nikampeleka shule moja ya private hapo Dar shule ya Mbezi high.Sasa amemaliza kidato cha nne hakufaulu ila amepata 4 ya 31 kwa maana yakuwa na D nne na F tatu.Alikuwa anachukuwa mchepuko wa biashara na akapata hicho alicho kipata
Sasa kumrudisha shule sitaki nae hataki wala masuala ya kurist hayataki kulingana na suala la uchumi lilivyo.Kumbuka yeye ni mtoto wakike huwa wanakata tamaa mapema.Ninachoomba ni ushauli naweza mpeleka chuo?je anaweza soma course gani na wap ?nisaidieni jamani nakosa la kufanya.Nitashukuru kwa ushirikiano wenu.
Na wewe umetoa ushauri???Kama anataka kuwa mtendaji au afisa maendeleo ya jamii mpeleke chuo cha serekali za mitaa hombolo
Kama anataka kuwa mwasibu mpeleke CBE
Kama anataka kuwa mtu wa IT mlege udomo aje arun code mpk achanganyikiwe au mpeleke NIT
Kama anataka kuwa fundi mlete hai chuo cha jimboni
Kama anataka kuwa mwalimu mlete patandi
Watoto hawafanani mkuuUshauri Bora umpeleke Veta akapate elimu practical itakayo msaidia
Mfano cherehani etc, baada ya hapo mnunulie cherehani, tua mzigo akishindwa ni yeye