mtu kama hataki kuja kujitambulisha ni NYOKA mwenye sumu kali akikung'ata lazima akuachie alama ya maishan, alaf hiyo long distance love huwa mbaya mchana au ata usiku mtakesha kwenye simu mkichat wenzio wanakesha wakisex mbaya sana huaga siiamin utasikia baby nipo bize hahahah kumbe bize yakukamuana lol,.
I hope you won't give this advice to your sisters and daughters.Hauko tiari kuzaa kabla ya ndoa!!!? Uwe tiari kuletewa mtoto wa nje...
Kwa maisha ya siku hizi vijana kuingia kwenye ndoa itachukua muda ila sio kupata mtoto....
I hope you won't give this advice to your sisters and daughters.
Hahaha na kwa nini nisipite?Lol!!!! Nlijua haupiti huku.... You are there for such advice, I wont say a thing