Kulingana na kesi inayowakabili viongozi wengi na wabunge wa CHADEMA, kule Arusha ni busara kuanza kujiandaa. Wajiandae kwa matokeo ya aina zote; moja ni endapo watashinda kesi na pili ni endapo watashindwa kesi.
Ushauri wangu ni endapo watashindwa, manake pale kutakuwepo na vifungo! Chama kijiandae na hiyo scinario ya pili ili kisijekushutukizwa. Kitendo cha kuongeza idadi ya mashitaka ni kuonyesha nia ya serikali katika hiyo kesi!
Nawakilisha!