ASCUDA T
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 120
- 33
Mimi Kama Raia Mwema Na Mpenda Mabadiliko Sasa Umefika Wakati Tutambue Kuwa CCM Ndiyo Wenye Dola Na Wanringia Kuwa Na Polisi Wanafanya Kila Kitu Kwa Matakwa Ya CCM.
Kwa Hiyo Basi Tunatakiwa Kutumia Akili Kuwadhibiti Hawa Wenye Dola. Kwa Mfano Kichaa Akichukua Nguo Zako Ukiwa Bafuni Utatoka Na Kumfukuza? Hapana Na Hili Ndo Silaha Yetu Kubwa Kuwadhibiti CCM.
Lakini Pia CHADEMA Inaweza Angalia Mbinu Za Kuongeza Wanachama Wake Kwa Mfano Kuviunganisha Vyama Vyenye Nguvu Mfano Kuunganisha Chadema Na NCCR Mageuzi Ili Kuwakomboa Watanzania Katika Ukoloni CCM.
Nasema Haya Kama Mawazo Yangu Kwa Kuwa Watanzania Wamechoka Kuona Watoto Wa Maskini Wanaangukia Ualimu Lakini Watato Wa Magamba Wakiajiriwa BOT, Tanapa, Tawiri Kwa Mfanao Riz 1 Sasa Ni Mkurugenzi Wa SAMAX NA MENGINE MENGI.
WATANZANIA WANAMTAKA RAIS MWENYE UCHUNGU NA NCHI YAKE NA SI KUONGEZA MADENI AKIDAI KULETA MAENDELEO HUKU UCHUMI UKIPOROMOKA KILA KUKICHA,KUPOROMOKA KWA ELIMU HUKU WATOTO WAO WAKISOMA SHULE BORA NA NJE YA NCHI.
VIONGOZI WA CCM HAWANA HURUMA NA NCHI.