Ushauri kwa CHADEMA

Amaru

Member
Joined
May 6, 2011
Posts
87
Reaction score
38
Kazi za msingi za chama cha siasa ni kushiriki katika chaguzi mbalimbali katika nchi, kuwafikia wananchi hasa kwa njia ya kuwaelimisha juu ya mambo kadha wa kadha yanayoendelea kuikumba nchi yao au kuanzisha maandamano ili kuelimisha wananchi,na pia kudai haki za msingi toka kwa utawala uklio madarakani.

Pia chama cha siasa ni sharti ku-express ideoloji yao ikiwezekana kuiandika katika maandishi ikiwa na malengo husika wa yale watakayo fanya wakishika dola, na mwisho ni ku-form coalition na vyama vingine vyenye 'common interest'.
 
Mbona sijakuelewa unachomaanisha na ushauri wako mbona sijaupata vizuri!? Rahisisha nikupate vizuri!
 

Halafu tukisema Pro. cdm humu JF wana mapungufu kwenye thread na comments zao tunaambiwa oooooh sio kweli, angalieni sasa huyu mwenzenu

 
Teeeeh....teeeeeh,huyu kweli ana-maintain ''status quo'' ndani ya Jf.
 
Wewe ni filauni wa CCM uliyeandika hki mtu CDM hawezi kuandika hvi na mwaka huu aibu yenu,mana hata mmewenu NAPE hana makali tena ameshaolewa na Lowassa,rais wa wana CCM.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…