Ushauri kwa CHADEMA kuhusu bendera yao!

Ndio nimewarahisishia kazi wairasimishe iwe nembo ya chama




Ni lini mtaweka push-ups,sanamu la Diamond,Kilimo cha umwagiliaji wa ubuyu na matakataka mengine kwenye bendera ya chama chenu?Badala ya kufikiria kutumia fedha za walipakodi wa Taifa hili kujenga kumbukumbu za kipumbavu,ni bora kumbukumbu hizo mkaziweka kwenye bendera yenu ya chama.
 
Yaonekana una hamu ya kutengeneza bendera. Kaanzishe chama.
 
Kaiwekee mnara kama wa babeli
 
Kabla ya Hilo Kwanza watuambie Mbunge wetu na kijana wetu John Mnyika yupo wapi? Alf ndo yafuate hayo ya kuweka hiyo mikono ya mabadilko waongeze na picha ya Lowasa kwenye bendera...
 


Hao uliowataja ni wagonjwa wa utawala hata CCM wametoka wengi tu kina Sumaye,Kingunge,Mwapachu yy alihama CCM akitarajia kupewa uwaziri wa mambo ya nje ilipokuwa wazi kuwa haupo akainua mikono.
 
Hata kumsusia NS ni matokeo ya udikteta. Kutoka ukumbini mpaka nje kwa wanahabari na kutoa tamko na wapambe kufuata kibubusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…