Chama hiki kitakuwa na maneno mengi uchangiaji zero.We unaambiwa hawa watu wakiona hata unakula kuku wanasema unakula Rushwa, hiyo Bilioni watapata wapi?
Sio Rahisi kufanya biashara na ku ji asscoiate na watu wa namna hii mzee ...
Watakuvuruga na simshauri mfanyabiashara yeyote ajiunge na michango kwa hawa watu.... Utapakwa matope mpaka uhame nchi...
Issue za michango ndio kitu wanaweza, .. waoombeee mpaka waelewe siasa ni pesa itakuwa baadae sana...
Hiyo groupe of jobless lawyers hapo ni suala la muda kila mmoja ataanza kutafuta maslah yake drama za ubunge 2025 zikishindikana.
Una chuki sana, jobless kwamba nani hapo hana law chamber yake? Huyo Lissu alishakua na LEAT tokea 90s huko followed na numerous projects za kisheria na Chambers. So unaposema jobless lawyer unamaanisha nini?groupe of jobless lawyers
Mimi sio mjuaji najua kweli,Una chuki sana, jobless kwamba nani hapo hana law chamber yake? Huyo Lissu alishakua na LEAT tokea 90s huko followed na numerous projects za kisheria na Chambers. So unaposema jobless lawyer unamaanisha nini?
Hii sio chadema ya Mbowe, huyu ni msomi wa Warwick so sidhani unaweza ku reason kuliko YEYE!! So punguza ujuaji usubiri utekelezaji
Wazo zuri, ili mradi tukichanga pesa ziende sehemu sahihi. Na isitokee Lisu kuanza kusema yeye ndio anakikopesha chama.Hii Chadema ya Lissu ni tofauti sana na Chadema ya Mbowe hasa kwenye njia za kupata pesa. Lissu na team yake wanataka Chadema iwe ya kisasa pamoja na mengi ushauri wangu ni huu
Fungueni Chadema Trust Fund ambayo iwe na account yake maalumu ya uwekezaji nashauri pale UTT. Hii trust fund watafanya utaratibu maalumu wa matumizi na utoaji wa pesa.
Tafuteni Tsh Bilioni 10-20 hata kama hamtapata yote anzeni na hicho pesa hii mtapata kwa . Hii haihusishi ruzuku
1. Wanachana na michango
2. Diaspora
3. Vyama rafiki vya kimataifa
Wekeni pesa UTT ambayo itawapa 10%~12% faida kila mwaka ya kujenga chama kila mwaka kwenye mapato mbakize 3% mfano mkipata 11% chukuweni 8% na 3% inabaki kukuza account
Baada ya miaka mitano mtakuwa mnajitegemea
Good thinkingHii Chadema ya Lissu ni tofauti sana na Chadema ya Mbowe hasa kwenye njia za kupata pesa. Lissu na team yake wanataka Chadema iwe ya kisasa pamoja na mengi ushauri wangu ni huu
Fungueni Chadema Trust Fund ambayo iwe na account yake maalumu ya uwekezaji nashauri pale UTT. Hii trust fund watafanya utaratibu maalumu wa matumizi na utoaji wa pesa.
Tafuteni Tsh Bilioni 10-20 hata kama hamtapata yote anzeni na hicho pesa hii mtapata kwa . Hii haihusishi ruzuku
1. Wanachana na michango
2. Diaspora
3. Vyama rafiki vya kimataifa
Wekeni pesa UTT ambayo itawapa 10%~12% faida kila mwaka ya kujenga chama kila mwaka kwenye mapato mbakize 3% mfano mkipata 11% chukuweni 8% na 3% inabaki kukuza account
Baada ya miaka mitano mtakuwa mnajitegemea
Ni kweli maana sio watanzania wengi wanauza unga. Nyie wauza unga hela ya gloves sio tatizo.Hao watanzania wanaoshindwa lipia gloves wajifungue? Mna utoto mwingi sana
Hahahaha, haki mna utoto sana ila very soon mtapata akili.Ni kweli maana sio watanzania wengi wanauza unga. Nyie wauza unga hela ya gloves sio tatizo.
Dua la kuku..Hahahaha, haki mna utoto sana ila very soon mtapata akili.
Tupo hapa…. Lissu lile tumbo litamuisha.Dua la kuku..
Utasubiri sana, uchaguzi umeisha na mmeshindwa kihalali, nongwa za nini? Ni hivi, hakuna kuhama chama.Tupo hapa…. Lissu lile tumbo litamuisha.
Muda ni hakimu wa yote.Utasubiri sana, uchaguzi umeisha na mmeshindwa kihalali, nongwa za nini? Ni hivi, hakuna kuhama chama.
Hilo utajua ww.Muda ni hakimu wa yote.
Mkuu badogo tu aujapataga akili hadi leo🤔We unaambiwa hawa watu wakiona hata unakula kuku wanasema unakula Rushwa, hiyo Bilioni watapata wapi?
Sio Rahisi kufanya biashara na ku ji asscoiate na watu wa namna hii mzee ...
Watakuvuruga na simshauri mfanyabiashara yeyote ajiunge na michango kwa hawa watu.... Utapakwa matope mpaka uhame nchi...
Issue za michango ndio kitu wanaweza, .. waoombeee mpaka waelewe siasa ni pesa itakuwa baadae sana...
Hiyo groupe of jobless lawyers hapo ni suala la muda kila mmoja ataanza kutafuta maslah yake drama za ubunge 2025 zikishindikana.
Ushauri huu ni muhimu Sana, kwa sasa chadema ijengwe kitaasisi kwelikweli ...Hii Chadema ya Lissu ni tofauti sana na Chadema ya Mbowe hasa kwenye njia za kupata pesa. Lissu na team yake wanataka Chadema iwe ya kisasa pamoja na mengi ushauri wangu ni huu