Techguy
Member
- Jul 15, 2018
- 57
- 41
Habarini, nimeona nitoe ushauri kwa ndugu ambao wanapenda kujiunga na courses mbalimbali za Computer, hapa namaanisha Computer Science, Information Technology, Computer Engineering na ambazo zinaendana.
1. Kwa uzoefu wangu, nimesoma vyuo tofauti...Hizi courses zinahitaji kujituma binafsi sana na sio kutegemea vitu vya class. Swala la kwamba utasomea chuo gani sio muhimu sana , ni lazima upractice vile vitu unavyofundishwa kwa vitendo , pia jaribu kucheki additional tutorials online kama YouTube ili uweze kuongeza knowledge.
2. Ni vizuri ukawa unafanya small projects kwa kutumia laptop yako taratibu , kama kutengeneza website ndogo n.k... Hii itakusaidia kuwa mzuri pale utakapomaliza, wengi wanaomaliza katika hii field ya ICT hawawezi kufanya vitu kwa vitendo kwani mfumo wa vyuo vingi hauko practical oriented zaidi.
3. Ukiwa na idea jaribu kushirikisha wenzio, kutokana na hiyo idea unaweza kutengeneza kitu kizuri zaidi kama ukipata mchango wa watu wa karibu, usiwe mtu kujifungia na laptop.
Kama utahitaji ushauri zaidi, nicheki inbox tuweze kusaidiana, iwe unataka kusoma level ya certificate, diploma, bachelor au masters.