hao wanapita tuHivi kitila bado una matumaini kuwa mtafika popote ni hiyo ACT labda muache kufadhiliwa na CCM vinginevyo mtatumika kwa muda tu na watanzania wataendela kuwapuuza tu.
Mimi binafsi sikatai kuanzishwa kwa chama kipya cha siasa ila kwa mtindo huu unaanzisha chama kwa hasira, sidhan kama patakuwa na muda wa kujenga chama bali ni kumkomoa yule uliyegombana nae,na huo si upinzan, upinzani ni sera hata kama ni za uongo lakin lengo ni kuleta chachu ya maendeleo,kwa uelewa wangu kuanzisha chama si kazi bali kazi ni kukijenga,mfano ccj kilijifia chenyewe bila kuuwawa na mtu yeyote.
Ushauri wangu ni heri ACT wangerudi chadema waombe radhi tusonge mbele na kujenga upinzani imara au muende ccm tu tujue moja maana mikutano yao mingi inafadhiliwa na ccm sasa hapo kuna upinzani?pia niwapongeze chadema kwa kutufumbua macho watz,na kwa uthubutu wa kutimua anayekwenda kinyume na chama,na kwa misimamo yenu hata kama chadema itakwisha{siombei} hadi hapo mmetusaidia hata chadema wanapokosea na wao ni binadam penye ukweli lazima tuseme. Hongereni chadema muwe na mshikamano mpaka kieleweke.
Mkuu, heshima kwako, naomba unifahamishe kitu kidogo, siku ile mlipofanya kongamano juu ya katiba mpya pale Nkrumah hall, kongamano ambalo lilihudhuliwa na vigogo wa CCM na kurushwa 'live' na TBC, ambapo wewe ulitoa mchango wako, na mwishowe mheshimiwa Lukuvi alipokuwa anafunga kongamano alikusifia sana kwamba wewe ni msomi mzuri halafu akakupa pole kwa yaliyokukuta i.e kufukuzwa uanachama CHADEMA... alikupa kazi ya kufanya utafiti juu ya wapinzani (UKAWA) kutaka serikali tatu... na kwamba kuna kitu kimejificha nyuma yao... niambie ndugu yangu umefikia hatua gani katika utafiti huo?Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?
Dotto, mbona unajichanganya mwenyewe! soma hayo mandishi yako kwenye rangi nyekundu halafu linganisha na hayo kwenye blue...Hivi sharti la kuwa mpinzani ni lazima uwe chadema? pia CHADEMA imebadilika nini hadi waliojitoa au kufukuzwa waombe kurud?
Nafikir ndio kwanza chadema inaning'inia na punde itaanguka. Kwa kulijua hilo ndio maana wakaazima damu kwa wafu wenzao, kwa kudhirisha ni div 5 hawajui kuwa haiwezekani kupata damu hai kwa maiti.
Lingine naomba ufahamu. ACT haijaanzishwa kwaajili ya kuishambulia CHADEMA au CCM. Bali ACT imeanzishwa ili kuleta mabadiliko chanya ktk maisha ya mtanzania na kupambana na vikwazo vya mabadiliko hayo.
Kama CCM au CHADEMA ndio vikwazo venyewe jua hilo si kosa la ACT bali ni kosa la kazi.
Njano5
Ahsante. Lakini ni vizuri ukawa muwazi zaidi ni kivipi wanachama wetu wanajisemea kwamba CDM watatutambua? Kama taasisi tuna itikadi, falsafa na misingi iliyo wazi kabisa na viongozi wetu wanatembea nayo hiyo. Vijana wetu wanafundishwa siasa za kujenga hoja kwa sababu hatuamini kabisa kwamba siasa ni mchezo mchafu. Kama chama kinachofuata falsafa ya unyerere tunakubaliana na kuzingatia siasa safi kama moja ya visababishi vya maendeleo. Tuache hisia.
Hivi sharti la kuwa mpinzani ni lazima uwe chadema? pia CHADEMA imebadilika nini hadi waliojitoa au kufukuzwa waombe kurud?

yaani wewe ndio hamnazo kabisa

Kwa kosa gani hasa? ACT watarudije CHADEMA kama taasisi? Kwa nini unaamini ili kufanya siasa za upinzani lazima uwe CDM?

Mkuu hapa umemaliza, Mtu yeyote anayekishambulia chama kingine cha Upinzani huyo hana tofauti na CCM si mpinzani wa kweli hata kidogo. Sasa Kama ACT wanabisha basi waendelee na itikadi yao ya kuishambulia CDM ili wauone mwisho wao.Narudia tena, Siasa safi za nyakati hizi ni zile zinazojielekeza kuiondoa CCM madarakani na sio zinazoisaidia kuning'inia madarakani.