Ushauri kutoka majarida ya uwekezaji kwa Kitila A. Mkumbo

Nimefurahi sana kwa kuona uteuzi wako na nina amini ukifanya kazi kwa kutaka kubadilisha sura ya uwekezaji nchini Tanzania najua utaweza.

Nchi yetu ina uwezo wa kukaribisha uwekezaji mpaka dollars billion 130 kwa kipindi cha miaka 5 ijayo kama utakubali ushauri na utaweza kumshauri mkulu JPM katika mambo ambayo unadhani huna uwezo wa kuamua wewe mwenyewe.

Mkulu anamawazo mapana sana ukimsikiliza kwa karibu na ukaudurusu muono wake katika sekta mbali mbali.

Watanzania nchi hii ni yetu na nijukumu letu kuhakikisha tunafanikiwa kwa kutoa ushauri sahihi, wengine utekelezaji wa naamuzi ya kuboresha uchumi yatatufaidisha moja kwa moja kwa kuwa ni washiriki katika naeneo mbalili mbali ya kiuchumi.

Kwa usomi ulionao , sihitaji kukuchosa na andiko refu ila nakuachia references ambazo mimi nimezisoma kwa undani na kuzirudia rudia bila hesabu.

Endelea mkuu: references.

Alfaro, L., Kalemli-Ozcan, S. and Sayek, S. (2009), FDI, productivity and financial development, World Economy, 32(1), 111-136.

Amendolagine, V., Boly, A., Coniglio, N. D., Prota, F. and Seric, A. (2013), FDI and Local Linkages in Developing Countries: Evidence from Sub-Saharan Africa, World Development, 50, 41-56.

Barnes, J. and Morris, M. (2008), “Staying alive in the global automotive industry: What can developing economies learn from South Africa about linking into global value chains?”, The European Journal of Development Research, 20(1), 31-55.

Barnes, J., Black, A. and Techakanont, K. (2015), “Industrial Policy, Multinational Strategy and Domestic Capability: A Comparative Analysis of the Development of South Africa’s and Thailand’s Automotive Industries”. The European Journal of Development Research.

Blalock, G. and Gertler, P. J. (2008), “Welfare gains from foreign direct investment through technology transfer to local suppliers”, Journal of International Economics, 74(2), 402-421.

Boly, A., Coniglio, N. D. and Prota, F. A. (2015), Which Domestic Firms Benefit from FDI? Evidence from Selected African Countries. Development Policy Review, 33(5), 615–636.

Boly, A., Coniglio, N. D., Prota, F. and Seric, A. (2014), Diaspora Investments and Firm Export Performance in Selected Sub-Saharan African Countries. World Development, 59, 422-433.

Donaubauer, J., Neumayer, E. and Nunnenkamp, P. (2016), Financial Market Development in Host and Source Countries and Its Effects on Bilateral FDI, Kiel Working Paper 2029. Kiel: Institut für Weltwirtschaft.

Godart, O. and Görg, H. (2013), “Suppliers of Multinationals and the Forced Linkage Effect: Evidence from Firm Level Data”, Journal of Economic Behavior and Organization, 94(C), 393-404.

Görg, H. and Seric, A. (2016), “Linkages with Multinationals and Domestic Firm Performance: The Role of Assistance for Local Firms”, European Journal of Development Research, 28(4), 605-624.

Görg, H. and Strobl, E. (2005), “Spillovers from Foreign Firms through Worker Mobility: An Empirical Investigation”, Scandinavian Journal of Economics, 107(4), 693-709.

Görg, H. and Kersting, E. (Forthcoming), “Vertical Integration and Supplier Finance”, Canadian Journal of Economics.

Harding, T. and Javorcik, B. S. (2011), “Roll Out the Red Carpet and They Will Come: Investment Promotion and FDI Inflows”, Economic Journal, 121(557), 1445-1476.

Harding, T. and Javorcik, B. S. (2012), “Foreign Direct Investment and Export Upgrading”, The Review of Economics and Statistics, 94(4), 964-980.

Javorcik, B. S. and Spatareanu, M. (2005), Disentangling FDI Spillover Effects: What Do Firm Perceptions Tell Us?, in Moran, T. H., Graham, E. M. and Blomström, M. (Eds.), Does Foreign Direct Investment Promote Development?, Washington, DC: Institute for International Economics, Centre for Global Economics.

Javorcik, B. S., Keller, W. and Tybout, J. R. (2006), “Openness and Industrial Responses in a Wal-Mart World: A Case Study of Mexican Soaps, Detergents and Surfactant Producers”, The National Bureau of Economic Research Working Paper (12457).

Lewis, B. et al. (2001), “India: The growth imperative”. McKinsey Global Institute.

Moran, T. H. (2009), “Three threats: an analytical framework for the CFIUS process”. Washington, DC: Peterson Institute for International Economics.

Moran, T. H. (2014), “Foreign Investment and Supply Chains from Emerging Markets: Recurring Problems and Demonstrated Solutions”. Working Paper Series Peter G, Peterson Institute for International Economics (IIE)(14-12).

Moran, T. H., Görg, H. and Seric, A. (2016), Quality FDI and Supply-Chains in Manufacturing. Overcoming Obstacles and Supporting Development. UNIDO and Kiel Institute for the World Economy, Vienna Investment Conference 2016, Discussion Paper.

Pérez-Villar, L. and Seric, A. (2015), “Multinationals in Sub-Saharan Africa: Domestic Linkages and Institutional Distance”, International Economics, 142, 94-117.

Reich, R. (1990), “Who Is Us?”. Harvard Business Review, 68(1), 53-64.

Rhee, Y. W., Katterback, K. and White, J. (1990), Free Trade Zones in Export Strategies. Washington, DC: The World Bank Industry Development Division.

UNCTAD (2011), How to Create and Benefit from FDI-SME Linkages: Lessons from Malaysia and Singapore. Geneva: United Nations Conference on Trade and Development.
Unapoteza muda wako, akili ya Mamlaka ya Uteuzi ikiwa imejaa tope hakuna Waziri wala Profesa atakayeweza kufanya lolote
 
Nchi yetu ina rasilimali nyingi sana. Pia tujue safari ya kujikwamua kiuchumi sio nyepesi kama tutawathamini na kuwaamini zaidi wahindi na wazungu, huku tukiwadharau wazawa haswa ikizingatiwa tupo kwenye dunia yenye ushindani mkubwa sana kiuchumi.

Wakati tukiwa tunawaza jinsi ya kupata mitaji mikubwa kwa ajili ya maendeleo ya miradi kikubwa ikiwemo viwanda vikubwa na kupata wataalamu wenye ujuzi na uzoefu mkubwa ambao sisi hatuna kutoka huko walikoendelea, basi tuendelee kukuza na kuboresha wataalamu na viwanda vyetu vidogo. Hii itatusaidia kupata uzoefu, kukuza taaluma na kutengeneza ajira kidogokidogo

Kuwa na rais mwenye maono ni baraka kubwa sasa tushirikiane kama taifa tuweze kusonga mbele
Asanteni Gerald .M Magembe na Freddie Matuja kwa post nzuri
 
Huo muda wa kuyasoma ataupata wapi wakati tayari ameishaanza harakati za kulinda jimbo 2025 mwaka ambao kutakuwa na uchaguzi na sio ukwapuzi! Siasa za hovyo zinawaondolea mawaziri uwezo wa kuleta tija, kuna haja ya kubadilika tuwe na mawaziri waiotokana na wabunge!
 
Kitendo chetu cha FIUME (Financial Intelligence Unit ) kinadai ya kazi lakini hasa sio kwa faida yetu.
Katika nchi za dunia leo hii, kila nchi inataka wawekezaji na nchi chacha sana serikali zao zina surpluses kiasi kuweza kuwekeza nje ya nchi mitaji makubwa bila nchi wanavyotoka wawekezaji bila kuraise eyebrows. Kwa hiyo mitaji inayokuja cha kuangalia zaidi ni pesa zinaeleza wapi na mradi gani. Mtaji unatokana wapi uchumu nafasi ya mwisho kabisa.

Duniani kote makampuni makubwa yanaanzishwa ili kukwepa kodi na sio kulipa kodi.

Na kodi zinazokwepwa ndizo hizo pesa zinazo wekezwa kwetu.

Mfano: Denmark ukiwekeza hulipi kodi kwa faida ulio ipata lakini usipo wekeza unalipa kodi kwa faida uliyo ipata. Na hii ni karibu nchi nyingi sana duniani. Sasa hapa bora uwekeze.

Katika uwekezaji wa aina hii FIU Tanzania inachukulia umetakatisha pesa. Ni suala linalotaka ufahamu wa kutosha kwa maofisa wa FIU kujua sera za kodi za wawekezaji nchi wanazotoka.

USA: Kodi inayo kwepwa kulipwa nchini Marekani na kupelekwa kuwekezwa Uswiss na nchi zingine zinazo pokea pesa kama hizi ni zaidi ya dolla billion 500.

Na zinawekwa Uswiss au nchi hizo zingine kwa kuwa wao wametengeneza urahisi sana kuweka pesa kutoka sehemu mbali mbali duniani, wakati faida ni kidogo sana Uswiss ni kama 3% to 4% kwa mwaka.
Niseme tu: andiko hili linaudanganyifu mwingi.

Hata sijui huo mstari wa kwanza una maana gani? Aya hiyo ya kwanza sijui inaeleza nini! Uandishi kama una haraka sijui ya kwenda wapi?

Halafu unaandika: "Duniani kote makampuni makubwa yanaanzishwa ili kukwepa kodi na sio kulipa kodi"?
Kwa hiyo unamshauri waziri na yeye kazi yake iwe ya kuvuta haya makampuni yaje hapa yakwepe kodi? Mstari huu una faida gani katika ushauri wako kwa waziri?

naandika kuwa "Denmark ukiwekeza hulipi kodi kwa faida uliyoipata, lakini usipowekeza unalipa kodi kwa faida uliyoipata". Utapata faida vipi kama hukuwekeza? Au una maana ya riba itakayopatikana kwa pesa yako kukaa benki? Na unadai "nchi nyingi duniani" zinafanya hivyo? Kwa hiyo unapendekeza hata hapa tuanzishe utaratibu huo? Usipowekeza, kodi inadaiwa sijui toka kwenye faida ipi iliyopatikana na kwa njia zipi?

Usiyafanye maswala ya "utakatishaji pesa" kama ni maswala ya kimzaha zaha vile kwenye enzi hizi. Huko Uswiss unakokuzungumzia sasa hivi huwezi kwenda benki na kuweka pesa bila ya kujibu maswalai mengi. Hizi ni enzi tofauti kabisa na zile enzi za akina Abacha.

Umeweka hapo tarakimu ya "dola 500billion" ni vigumu kujua umeipata kutoka wapi kwa vile hukuweka vyanzo vyako vya habari. Ndio, kuna ukwepaji wa kulipa kodi hata huko, maanake hata Trump mwenyewe hapendi kulipa kodi, lakini kuweka tu tarakimu hapa kama hiyo bila ushahidi hata wa kimazingira, inakuwa vigumu kuamini tarakimu hizo.

Ukweli ni kwamba haijulikani ni nini maana yako ya kuweka bandiko hili ili waziri naye alione. Je, unataka kitengo chetu cha FIU kifutiliwe mbali? Kwa dunia ya leo, hilo haliwezekani kabisa.
 
Nchi yetu ina rasilimali nyingi sana. Pia tujue safari ya kujikwamua kiuchumi sio nyepesi kama tutawathamini na kuwaamini zaidi wahindi na wazungu, huku tukiwadharau wazawa haswa ikizingatiwa tupo kwenye dunia yenye ushindani mkubwa sana kiuchumi.

Wakati tukiwa tunawaza jinsi ya kupata mitaji mikubwa kwa ajili ya maendeleo ya miradi kikubwa ikiwemo viwanda vikubwa na kupata wataalamu wenye ujuzi na uzoefu mkubwa ambao sisi hatuna kutoka huko walikoendelea, basi tuendelee kukuza na kuboresha wataalamu na viwanda vyetu vidogo. Hii itatusaidia kupata uzoefu, kukuza taaluma na kutengeneza ajira kidogokidogo

Kuwa na rais mwenye maono ni baraka kubwa sasa tushirikiane kama taifa tuweze kusonga mbele
Asanteni Gerald .M Magembe na Freddie Matuja kwa post nzuri
Wabongo bana maneno mengi action hakuna

Ova
 
Mama D,
Hoja yako ya kufanya kidogokidogo ina mashiko ila tusiache kufikiria makubwa hasa kama yatafanyika yanaweza kuongeza tija na kukidhi mahitaji ya ndani au nje.

Mathalan, kama tukifanya uwekezaji wa mkakati kwenye kuzalisha maziwa mengi mahali pamoja kila siku, tungeweza kuuza kwa lita laki 2 kwa Bakhresa ambae kwa siku anazalisha maziwa ya unga anayonunua India na kuya-reconstitute.
Ukisema uwe na wafungaji wadogowadogo haitawezekana kukidhi mahitaji ya soko. Kumbe hizi hela tunazonunua maziwa ya Bakhresa kila siku na mengine tunayapata kwa njia ya Ice cream, Prof. Kitila akitafuta wawekezaji wawe wa ndani au nje kwa soko ambali tunajua lipo, hii inaongeza mzunguko wa fedha ndani.

Kila mwaka tunahubiriana kuwa na deficit ya sukari ya matumizi ya nyumbani na industrial sugar; na kufidia deficit wenye viwanda wanapewa viabali kuagiza; hii imekuwa practice ya miaka 5 ya JPM; ni namna gani tuje na strategic implementation ya kuziba hii nakisi maana soko lipo na linanunua kwa sh 2600 kwa kg?

Kukuza uchumi ni vita, na ushindi wa vita ni mikakati ya siri (covert operations) kuliko njia za wazi (overt operations)

Prof; kama hutajali ntakutumia andiko la mtu mmoja aliefanya tafiti la mafungamano ya PUBLIC & PRIVATE kwenye nchi za "mabeberu" wanavyofanya ili mara zote kuendelea ku-dominate biashara kwenye soko.

Ukisoma hii taarifa hapa chini toka Africa Centre for strategic studies unaona namna gani China inatumia mkakati wa kuja na miradi mingi ya miundombinu Ulaya-Asia na Asia-Africa; miradi hii inafanywa kwa asilimia kubwa na makampuni binafsi ya China na nchi wafaidika ya miradi wanabaki waki-service mikopo kurejesha fedha China; wakati huo huo China inapitishia kwenye hiyo miundombinu bidhaa chungu mzima kutoka makampuni ya China (Private Sector ya China)

China kuna namna ame-copy na cu-customize economic model ya Japan kwenye kuongeza mauzo ya bidhaa zake.

Asasnte Mzee Magembe kuchokoza mada, Prof. Kitila na Watanzania, bado tuna chance kutumia geo-economic advantage kukuza uchumi wetu hasa kuongeza expoerts kwenye nchi zilizotuzunguka.

Hivi cornflakes, wheat-flakes, cocoa, milo, maziwa ya unga, tomato paste, soy milk, toothpick nazo mpaka sisi na nchi zilizo jirani ziagize toka China wakati tuna ardhi ambayo ipo na tunaweza kutengeneza "tailor made investment loan" iwe ndani au nje ya nchi kuyafanya haya.

Korosho, mpaka lini tutaendelea ku-export ikiwa ghafi? miaka ya 70 wakati Vietnam anapiga vita na US sisi tulikuwa na viwanda vya korosho; leo Vietnam anakuja kununua korisho na kuuza Ulaya na US kama finished product; hapa nao ametuzidi kuwa na technology ya kisasa kufanya processing jambo ambalo tupo Watanzania kama mazingira yakuwe "well customized" Watanzania tunaweza kufanya tofauti.

Tukiamua kujiamini, tutafanya jambo. Kuna mambo ambayo FDI zinaweza kufanya, ila sio wachina kuja Tz na viwanda ya toilet paper. This is really disgrace simply kuna mazingira hayajawa favourable ila Watanzania nawe tuwe sehemu ya mabilionea 1000 au zaidi ambao Mhe. JPM anataka kuwazalisha.
 
Na siasa za kujipendekeza amuachie nani
Nilivyokuelewa na nilivyoelewa maudhui ya mada hii ni kwamba: "anayejipendekeza na yeye kapata anayejipendekeza kwake"!

Sio nia yangu kuwa 'callous' kiasi hiki, lakini sioni kama ninakosea katika hisia hii.
 
Pamoja na uccm wako lakini unachoongea kinaingia akilini.
 
Bakhresa ambae kwa siku anazalisha maziwa ya unga anayonunua India na kuya-reconstitute.
Ukisema uwe na wafungaji wadogowadogo haitawezekana kukidhi mahitaji ya soko.
Mstari wa kwanza ni 'disgrace'.

Huo wa pili huwa siwaelewi nyinyi wataalam wa uchumi. Inakuwaje wazalishaji wadogo wasiweze kama wamewezeshwa kufanya kazi hiyo kwa ufanisi!

Huyo mfugaji mkubwa ng'ombe wake wana tofauti gani na hawa ng'ombe wa wazalishaji wadogowadogo. Utanieleza gharama za ufugaji na faida ya 'scale'; lakini kwa nini tusiwachukulie wafugaji hawa wadogo wadogo mia moja wanaodhalisha kwa kiasi kile kile anachozalisha huyu mmoja kuwa kinawanufaisha na kukidhi mahitaji yao ya kuendesha maisha?

Hapo Kenya wafugaji wadogo wadogo ndio wanaolisha viwanda vyote vya Brookeside na hata vile vya New Kenya Co-op creameries; kwa nini hapa isiwezekani. Kwanza hapa ndipo itawezekana zaidi kwa sababu tunazo mali ghafi za kutosheleza kutengeneza vyakula vya hao ng;ombe.

Tusipuuze uwekezaji unaowanyanyua na kuwafaidisha wananchi wetu, hasa hao wadogowadogo huko vijijini.

Hiyo sukari, sijui tunashindwa kitu gani? Mimi nadhani ni kukosa uongozi tu unaoweka nia kutatua matatizo yanayotukabili. Hatujapata viongozi wanaofocus kwenye kufumbua tatizo, angalao hata moja na kulimaliza kabisa.

Hawa wanaojaribu wanaishia 'ku'dilute' juhudi zao kwa kutaka kufumbua kila tatizo kwa wakati mmoja. Matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona - tunabaki tukizungukazunguka tu humo humo bila ya kupiga hatua za maana hata katika eneo moja.

Mwalimu alijenga viwanda 'very strategic' kwa wakati ule, lakini dunia ilichafuka. Hatukuweza kwenda mbele. Tutabaki tunazungukazunguka tu hata wakati huu tusipokuwa waangalifu.
 
Mkuu hizi makala zinapatikana free? If yes, from what source, au ukigoogle tu unazipata. Kama ni za kulipia, source ni wapi?
Hizo makala baadhi zipo free nyingine ni za kununua.
Sasa kwa zile za kununua Kuna njia ya kuzidownload free.
Mfano hiyo paper ya kwanza ni ya kulipia
Sasa Cha kufanya tumia komputa
1. ingia google andika google scholar
2. Andika jina la hiyo paper itakuja
3. I click halafu tafuta namba fulani ambazo zinaanza na http:doi............
4. Kopy hizo namba zote
5. Fungua browser nyingine andika sc hub search itakuletea sci-hub removing barriers in the way of science ingia hapo
6. Itakudirect mahali upaste zile namba (doi) halafu utaclick open paper itafunguka
7. Download soma
 
Kwa maoni yangu Ni vigumu Sana bwana kitila kufanikisha hayo, Kama masuala ya demokrasia tukiyadharau. Kwa sababu hao wawekezaji pia watakuwa wanafuatilia masuala ya demokrasia na mambo mengi ili waje kuwekeza nchini mwako.
Tunataka maendeleo kama nchi za Asia ! Demokrasia ni baada ya maendeleo. Mbona wawekezaji hawakatiki huko China na hakuna Demokrasia?
 
Hii mada imenikumbusha maneno ya Hayati rais mstaafu wa awamu ya tatu mzee Mkapa mwaka 2016 alipokuwa akiongea katika uzinduzi wa kigoda cha mwalimu.
Pamoja na mengi aliyoyazungumza alihoji pamoja na sera zote za uchumi zilizopo zilizofungua milango kwa soko huria ni makampuni mangapi yameanzishwa na watanzania wazawa? kinachowazuia ni nini?
Nadhani hapa ndipo tatizo lilipo.
Watu Wana idea nzuri Sana ukisoma hapa zipo zimeelezwa na wadau hapo juu kuanzia za viwanda vya sukari, maziwa ya kumuuzia bakheresa nk.
Lakini swali ni je mbona hatufungui hivyo viwanda?
Kama tatizo mitaji mbona mwaka huu wa fedha TIB wamerudisha pesa serikalini kwa nini hazijatumika?
Ukweli ni kwamba hivi vitu vinahitaji msaada wa serikali kwa kuanzisha kitengo cha kuweza kuwasaidia watu wenye mawazo ya uwekezaji hasa katika utekelezaji wa miradi.
Kwa sababu bado hatuna watu wazoefu sana kwenye kusimamia miradi mikubwa serikali ingeanzisha hiki kitengo ingesaidia kuwapa confidence wazawa kwenye kuwekeza.
La sivyo tutabaki tu kuchuuza kununua china kuleta hapa kurepack basi hatutaweza kutengeneza makampuni ya maana ya kuzalisha bidhaa.
 
Mstari wa kwanza ni 'disgrace'.

Huo wa pili huwa siwaelewi nyinyi wataalam wa uchumi. Inakuwaje wazalishaji wadogo wasiweze kama wamewezeshwa kufanya kazi hiyo kwa ufanisi!

Huyo mfugaji mkubwa ng'ombe wake wana tofauti gani na hawa ng'ombe wa wazalishaji wadogowadogo. Utanieleza gharama za ufugaji na faida ya 'scale'; lakini kwa nini tusiwachukulie wafugaji hawa wadogo wadogo mia moja wanaodhalisha kwa kiasi kile kile anachozalisha huyu mmoja kuwa kinawanufaisha na kukidhi mahitaji yao ya kuendesha maisha?

Hapo Kenya wafugaji wadogo wadogo ndio wanaolisha viwanda vyote vya Brookeside na hata vile vya New Kenya Co-op creameries; kwa nini hapa isiwezekani. Kwanza hapa ndipo itawezekana zaidi kwa sababu tunazo mali ghafi za kutosheleza kutengeneza vyakula vya hao ng;ombe.

Tusipuuze uwekezaji unaowanyanyua na kuwafaidisha wananchi wetu, hasa hao wadogowadogo huko vijijini.

Hiyo sukari, sijui tunashindwa kitu gani? Mimi nadhani ni kukosa uongozi tu unaoweka nia kutatua matatizo yanayotukabili. Hatujapata viongozi wanaofocus kwenye kufumbua tatizo, angalao hata moja na kulimaliza kabisa.

Hawa wanaojaribu wanaishia 'ku'dilute' juhudi zao kwa kutaka kufumbua kila tatizo kwa wakati mmoja. Matokeo yake ndiyo haya tunayoyaona - tunabaki tukizungukazunguka tu humo humo bila ya kupiga hatua za maana hata katika eneo moja.

Mwalimu alijenga viwanda 'very strategic' kwa wakati ule, lakini dunia ilichafuka. Hatukuweza kwenda mbele. Tutabaki tunazungukazunguka tu hata wakati huu tusipokuwa waangalifu.
Tanga fresh na Asas wanategemea wafugaji wadogo wadogo ambacho pia ni kitu kizuri; ila kwenye kilimo na ufugaji kuna kitu kinaitwa productivity per unit. Unaweza kuwa na wafugaji 200 kila mmoja ana ng'ombe 5 wanaotoa maziwa; it is obvious watakuwa scattered. Hivyo collection ya maziwa haina guarantee kwa mnunuzi; control ya ubora kwenye kukamua pia sio guaranteed kama wanaokamua wanabadiisha maana wafugaji wengi hawalipi vizuri "walishaji".

Then kuna changamoto ya viwanda kuwalipa kati ya 750 mpaka 1,000 kwa lita; wakati mtaani maziwa ni kati ya 1500 mpaka 1800 kwa Iringa au Tanga.
Ni changamoto kupata vert doc kuhudumia ng'ombe ambao wako scattered kama wakiugua.

Then kuna suala la feeding ili ng'ombe walau atoe wastani wa lita 20-30 kwa siku. Ili Bakhresa aache kununua lita laki 2 za maziwa india unahitaji wafugaji 4000 walio organized kama kila mmoja ana ng'ombe 5 na collection point za kupima ubora ziwe set. Then asitokee mmoja kwa uzembe wa kubadili kijana au kulisha inavyotakiwa ili constant supply iwepo.

Kama ukiweza kufanikisha hili unatoboa. Japo ni ngumu sana.

Kuna ulazima wa kuwa na industrial farming za kuzalisha maziwa walau 70% then 30% inatoka kwa hawa wadogo ambao ni vema nao wakawa na nafasi.
Ukiwa na scattered efforts in the name of wadogo wadogo, kutoboa kwenye kuwa na constant supply of raw materials ni ngumu.

Nikuachie swali, kwanini Newzealand au Israel au Netherlands ni ndogo in term of size na ina mifugo michache kuliko Tz, yet wanazalisha maziwa mengi mpaka ku-export kuliko sisi?
 
Pamoja na uccm wako lakini unachoongea kinaingia akilini.
Utanzania wetu ndio utaifa na huu ndio unaotuunganisha bila kujali vyama vya siasa. Tanzania wasio na vyama ni wengi na kama kuna mahali tumepigika au tunafanikiwa Utaifa wetu unakuja mbele kabla ya ukabila, affliation ya vyama au dini zetu.

Tukiweza kujadiliana, basi msingi wetu ni namna gani maisha ya Watanzania yawe mazuri kwa wao ku-earn zaidi kwa kutumia technology hasa kuongeza uzalishaji. Ukiwa na earners wengi ambao pia wana-spend eventually hata tax base inaongezeka na unaweza kupata makazi bora na huduma zingine za kijamii kama shule, hospitali binafsi kuzalishwa kukidhi mahitaji ya wazalishaji wenye ziada kwenye kipato chao.
 
Nikuachie swali, kwanini Newzealand au Israel au Netherlands ni ndogo in term of size na ina mifugo michache kuliko Tz, yet wanazalisha maziwa mengi mpaka ku-export kuliko sisi?
Swali lako ni rahisi. Ongeza na Ireland hapo.
Katika nchi zote hizo ulizotaja, zote zinawategemea wafugaji wadogo kwa kiasi kikubwa.

Matatizo uliyoyataja ya "scattered" sio muhimu. Kwani hapa Tanzania tupo scattered kiasi gani baada ya kuwa kwenye vijiji? Vet. kweli atashindwa kuhudumia vijiji hata vitano kwa mpigo?

Matatizo yote uliyotaja ni ya 'kiufundi' na yanaweza kutatuliwa kama kunakuwepo na nia ya dhati ya kuyatatua ili kuwawezesha wafugaji wadogo kuongeza ufanisi katika ufugaji wao. Hawa wafugaji wanaweza kununua mahitaji yao kijumla kama ushirika ili kupunguza baadhi ya changamoto za ununuzi na usambazaji. Sijaona sababu muhimu kati ya hizo ulizoeleza kuwafanya wafugaji wadogo wasiweze kufanikisha ufugaji wao na kuufanya kuwa na tija.

Hapa umeniuliza swali la ajabu kidogo:eti Tanzania ina mifugo mingi kuliko hayo mataifa? Hivi kweli unataka nilijibu hili swali? Mbona tunao kuku wengi wa kienyeji, lakini hatupati mayai mengi kuliko hao wachache wa kuku wa kisasa? Umenielewa?
 
Utanzania wetu ndio utaifa na huu ndio unaotuunganisha bila kujali vyama vya siasa. Tanzania wasio na vyama ni wengi na kama kuna mahali tumepigika au tunafanikiwa Utaifa wetu unakuja mbele kabla ya ukabila, affliation ya vyama au dini zetu.
How I wish this was the case!

Najua haya maneno uliyoyaandika hapa yanakuchoma moyoni mwako kama kisu kikali.

Ila waTanzania siku hizi hatuna soni tena, uigizaji umezidi sana. Tunasema chochote bila kujali hata kama hao tunaowasemea wanazo akili za kutambua uigizaji.
 
Then kuna changamoto ya viwanda kuwalipa kati ya 750 mpaka 1,000 kwa lita; wakati mtaani maziwa ni kati ya 1500 mpaka 1800 kwa Iringa au Tanga.
Kati ya sababu zote ulizoorodhesha, hii ndio inaweza kuwa kikwazo kikubwa.

Hii ni sababu muhimu inayokwamisha katika ngazi yetu ya maendeleo. Lakini tukumbuke, soko letu nalo litapanuka kufuatana na muda. Tutahitaji kuwauzia waafrika wenzetu ushirika wetu utakapoanza hapo January 2021. Bado walaji watakuwa chini,kwa kila nchi, lakini watazidi kupanuka kadri maendeleo yatakapokuwa yanapatikana.
 
Back
Top Bottom