Ushauri kuoa mwanamke aliyekuzidi umri

Ushauri kuoa mwanamke aliyekuzidi umri

USIOE:
  • Aliekuzidi Kipato, na Elimu
  • Mwenye mtoto oa ila uone kaburi la baba wa mtoto, na ufananishe jina la kwenye cheti cha kuzaliwa mtoto.



Ukipata aliekuzidi umri wanakuaga walezi wazuri. Especially 30+ yo. Washamaliza hivi vi trip vya Juliana na Kidimbwi.
 
At least akuzidi mwaka mmoja au miwili maoni yangu binafsi
 
Unaweza Kuoa mwanamke anae kuzidi miaka 5?
Mapenzi hayana formula,

Unaweza ukamuoa uliyemzidi miaka 5 akawa pasua kichwa, hana heshima, mgegedo hatoi nk


pia unaweza ukaoa aliyekuzidi miaka 5 akawa yupo vizuri na ukaenjoy


Kinyume pia unawezana


Kikubwa, make sure unaoa mtu sahihi na sio umri au kingime
 
Huyo ni mshangazi....hapo wew ndio umeolewa
 
Nawe acha usengerema unaoa ili iweje
Wanawake ni chombo cha STAREHE
 
Bongo ndio ishu, ila ulaya kitu cha kawaida sana..,wachezaji na wasani wengi sana wameoa wanawake waliowazidi umri.
Ukianzia kwa legend Zidan mwenyewe!
 
Kama mnapendana na mmeridhiana oa, kikubwa unawnjoy penzi na anakuheshimu kama mme.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom