Ushauri kuhusu website

fagix

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
739
552
Hello jf expert

Naamini mu wwzima, Leo nipo hapa kupata ushauri wenu

Nataka kufungua website na sio blog.

Nimejaribu kutafuta ideas

Nikapata zifuatazo:
1. Classified website

2. Educational website

3. Music websites


Naanza na classified, hii naidevelop kulenga watu wote, lakini nataka niwape special priority kwa wafanyabiashara wadogo wadogo kama machinga mama ntilie nk.kwa kuweka premium ads kwa bei ndogo (affordable price).

Lengo ni kusaidia kukuza uchumi wa watu wa kipato cha chini, ya kufikia soko kiuhalaka zaidi

Pili kuwapa nafasi wakulima kutanga mazao yao katika masoko lengwa

Kwa educational website hapa nataka niweke page kama ifuatavyo:
Learning material ( kwa kuanzia tutakuwa na notes, solved qns, formula za mathematics, geography notes, na siku zijazo tutaweka masomo yote ya secondary)

CV tips

Scholarship pages
Job vacancy

Online class ( kwa wanaotaka kujiendeleza kwa vyuo vya nje kupitia mtandaoni)

Na mengine mengi yataongezwa siku zijazo (phase 2)

Tatu music website hii n kama web nyingine bongo(OK niseme kama blog za muziki za hapa bongo)


Ninachotaka toka kwenye ni ushauri wa website ipi inaweza kunilipa kwa kupata watembeleaji wengi wa ndani na nje ya nchi yetu pendwa

Asante ! Mungu awe nasi milele!
 
Kuhusu classified website na educational hapa bongo hazilipi kama wewe sio icon kwa jamii fanya ufunguo ya muziki.

Python @C++ ruby
 
Back
Top Bottom