Developer_tz
Member
- May 16, 2023
- 91
- 140
Zipo site unalipia moja kwa moja kabisa jaribu kudadisi vizuri utaziona, Ila sababu kuu ni kutokua na uaminifu wa bidhaa yaan unaweza ukaona bidhaa kwa picha ukaletewa bidhaa kwenye picha na uhalisia ni tofauti kwa hio anaedeliver ndio ataambiwa km mteja atalipia karidhia au halipii hajaridhiaSASA WAZO NDIO LINAKUJA HAPO
Nini kinakwamisha ecommerce za bongo kutokuwa na payment gateway?
Bongo hii nitajie ecommerce ya hapahapa TZ unayoweza kulipa mzigo direct moja kwa mojaZipo site unalipia moja kwa moja kabisa jaribu kudadisi vizuri utaziona, Ila sababu kuu ni kutokua na uaminifu wa bidhaa yaan unaweza ukaona bidhaa kwa picha ukaletewa bidhaa kwenye picha na uhalisia ni tofauti kwa hio anaedeliver ndio ataambiwa km mteja atalipia karidhia au halipii hajaridhia
Aisee asante kwa ufafanuzi...Ni kweli changamoto kama izo apo sasa itabidi uwe na agent wa usafirishake kuna wale transporter wanafanya vizuriAmazon wanauza mizigo yao kwa kiasi kikubwa, wana magodown yao kibao hawana huo utaratibu ila Alibaba naskia wana huo utaratibu ulioelezea
Hicho kitu kinaitwa Escrow, Mnunuzi analipia mali kwa mtu wa kati, Muuzaji anamtumia mali mnunuzi, mali ikifika kwa mnunuzi mtu wa kati anampa pesa yake muuzaji.
Shida inakuja kwenye vyombo vya sheria kuwa na msaada kidogo, muuzaji anaweza kutuma mzigo nae mnunuzi analipia kwako mtu wa kati, Picha linaanza hawa makanjanja unakuta mnunuzi kapokea kila kitu ila anabadili mzigo anaweka vilivyoharibika kisha anakuja kulalamika kwako kwamba mzigo umeharibika umrudishie hela yake, nae muuzaji anakuwashia moto anahitaji pesa yake ama arudishiwe mzigo aliotuma.
Ila ndio ujasiriamali huo, Risks hazikwepeki.
Betting sites, BetPawa, sportpesa, kazijaribuBongo hii nitajie ecommerce ya hapahapa TZ unayoweza kulipa mzigo direct moja kwa moja
API za makampuni ya simu na bank unazilink mauzo yanaenda direct bila mbambamba,Aisee asante kwa ufafanuzi...Ni kweli changamoto kama izo apo sasa itabidi uwe na agent wa usafirishake kuna wale transporter wanafanya vizuri
Sasa mkuu swali lingine..Ni kwamba hiyo Escrow unaomba kwa kampuni lets say Crdb,Mpesa n.k au ni mfumo binafsi kama paypal ambao uwezi upata kwenye local payments..??kwasababu kibongo site kama hii inabidi iwe na malipo ya local kama Mpesa sijui Lipa namba ili uendane na waTZ
Hapo sijaelewa unamaanisha nini, Ila kuna Kikuu, Tunzaa, easy buy etc.Bongo hii nitajie ecommerce ya hapahapa TZ unayoweza kulipa mzigo direct moja kwa moja
Sasa izo ni ecommerce mkuu? Na ukumbuke izo zinaenda direct kwa kampuni..So hujaelewa idea yangu ngoja nikufafanulieBetting sites, BetPawa, sportpesa, kazijaribu
Utakua na uweza wa kuweka pending malipo? Mpaka mnunuzi athibitishe au kulipa advance?API za makampuni ya simu na bank unazilink mauzo yanaenda direct bila mbambamba,
SijuiTunzaa inafanyaje kazi?
Tena nimetoka kureview hiyo tunza hapa..Wao ni B2C ile wanaita (Bussiness to Company) yani user(mimi na wewe) hatuwezi kuweka bidhaa zetu pale ni wao tu.Naona ni duka la mtu kaamua kujiendeleza kihivyo.Okay, Tunzaa from what i know mfano unataka kununua Ubuyu na unauzwa 5000, unaweza kuweka plan labda ya kununua huu ubuyu kwa siku 5 ambapo utakuwa unalipia Tsh: 1000 kila siku ili jumla ifike 5000 upate ubuyu wako. Thats what i know from Tunzaa,
Idea yako ya kudevelop hiyo Platfom ni nzuri by the way ila unatakiwa ucheze smart sana na uweze kutengeneza utofauti na trust. Inawezekana ila committment, kwasababu haitaishia tu kucode bali itahitaji kuuza and thats the most difficult part of business.
Unaelewa maana ya Electronic-Commerce? Maana sio unaandika ushubwada wako tu hapo,Sasa izo ni ecommerce mkuu?
Unazitaji hizo alafu unakataa eti betting companies hasihusiani na e-commerce, Mzee shule ulienda kuusomea ujinga? Au neno e-commerce linakupiga chenga usijue kua hata services zinauzwa na kununuliwa sio goods onlyMimi idea yangu ni both B2B na B2C yani kampuni au watu.utaweza kuuzia mtu direct..
Wewe hujui hio ipo kwenye betting companies, ukiingiza Pesa inaingia papo hapo uki-win unalipwa papo hapo na unaweza kutoa papo hapo, unanielewa lakini au umesomea kupinga kila unachokiona bila kufanya utafiti?Malipo ambayo na B2B yani direct yanaenda kwa Mtu na Mtu direct.Lakini hapohapo kwenye huo muamala unakata automatically asilimia zako kadhaa(% ) Na pia kuna sehemu ya kuhold malipo