Hello Habari za wakati huu wana jf
Naimani humu kuna wataalam wa maswala ya ufugaji huthusan wa kuku
Nilikuwa na mtaji wa 30,0000 nimewaza kufuga kuku Eneo ninalo tayari
Je mtaji wangu unatosheleza ?? Na je Nikuku gani wenye faida
Ambao ukiwafuga wataweza toka kimauzo haraka
Natumai ushauri mzuri toka kwenu