kwa lugha nyepesi ukitia mafuta ya elf 10 taa still inawaka ya mafuta kama hakuna.Ok, vp kuhusu ulaji wa mafuta mkuu sio zile wanaita jini izo
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sasa si umezitaja hapo juu? Nimekuajia beiOk, vp kuhusu ulaji wa mafuta mkuu sio zile wanaita jini izo
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hatari sana,, so bora niende kwenye izi kuanzia cc1200 za kizalendokwa lugha nyepesi ukitia mafuta ya elf 10 taa still inawaka ya mafuta kama hakuna.
2,mafuta ya elf 10 ukitoka banana mpka posta kurud tena banana sahau
that's the meaning of jiniHatari sana,, so bora niende kwenye izi kuanzia cc1200 za kizalendo
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nimekusomaa mkuu, ngoja tusilize na watalaam wengine wana mpya ganSasa si umezitaja hapo juu? Nimekuajia bei
Carina Ti ushauri wanguOk, vp kuhusu ulaji wa mafuta mkuu sio zile wanaita jini izo
Asante kwa ushauri mkuu MvumboAsilimia kubwa Toyota za old ni nzuri ila zinatofautiana kwenye maswala ya mafuta, mfano hizo ulizotaja mafuta inabidi uwe sawa kidogo...ukitaka zenye nafuu nenda katika koo za Corona, Carina, Corolla, Premio nk.
Naifanyia kazi iyo asante@polokwaneChukua chuma carina Ti my road utakuja kunishukuru sana.