Man from space
Member
- May 18, 2025
- 11
- 11
Hapo unajaribu kutafuta kitu gani kwenye upande wa elimu, mbona hueleweki unataka kubobea kwenye fani ipi??Naomba ushauri mm ni mwalimu Wa shule ya msingi Nina diploma ya laboratory science and technology natarajia kujiunga open kusoma bachelor of science general open university alafu baadae nisome postigraduate ya elimu kwa ajili ya kubadilishiwa muundo .je kwenye muundo ipoje kwa watu Wa postgraduate diploma in education
Sio kweli acha propaganda dunia ya sasa elimu inatolewa kwa Odel hata hivyo vyuo vya bweni kuna program wanatoa kwa Open and distance learning.Open university ni Memkwa iliyo changamka.
Jifunze kuandika vizuri ueleweke toa detail na zingatia tense/ wakatiKilichotokea nilienda kusoma diploma ya maabara nikitarajia nikipelekwa secondary nitajiendeleza kwenye ngazi ya degree lakini kubadilishiwa muundo imekuwa ngumu nikaona kuliko.kupoteza muda niingie open
Sawa ni matatizo kidogo ya kiuandishi nitarekebishaJifunze kuandika vizuri ueleweke toa detail na zingatia tense/ wakati
Kwenye prospectus ya mwaka huu haipo . Lakini nimewasiliana nao wakasema kozi ipo kwahiyo yawezekana wamesahau kuiweka kwenye listProspectus ya 2025- 2026 ya OUT ina bachelor of Science General.?
Mbona unazunguka sana mkuu why usisome Degree ya Education Moja kwa mojaNaomba ushauri mm ni mwalimu Wa shule ya msingi Nina diploma ya laboratory science and technology natarajia kujiunga open kusoma bachelor of science general open university alafu baadae nisome postigraduate ya elimu kwa ajili ya kubadilishiwa muundo .je kwenye muundo ipoje kwa watu Wa postgraduate diploma in education
Kwa hiyo ni muajiariwa tayari weweKwenye prospectus ya mwaka huu haipo . Lakini nimewasiliana nao wakasema kozi ipo kwahiyo yawezekana wamesahau kuiweka kwenye list
NdiyoKwa hiyo ni muajiariwa tayari wewe
Kwa open university hawaruhusu mtu aliye soma diploma ya maabara kusoma degree ya elimuMbona unazunguka sana mkuu why usisome Degree ya Education Moja kwa moja
Hueleweki unatafuta nini kwenye maisha mwalimu wa primary,endelea kujitafuta utajipata tu.Naomba ushauri mm ni mwalimu Wa shule ya msingi Nina diploma ya laboratory science and technology natarajia kujiunga open kusoma bachelor of science general open university alafu baadae nisome postigraduate ya elimu kwa ajili ya kubadilishiwa muundo .je kwenye muundo ipoje kwa watu Wa postgraduate diploma in education
Kipi kimekwamisha kubadilishiwa muundo?,Kilichotokea nilienda kusoma diploma ya maabara nikitarajia nikipelekwa secondary nitajiendeleza kwenye ngazi ya degree lakini kubadilishiwa muundo imekuwa ngumu nikaona kuliko.kupoteza muda niingie open
Ulichoandika kimeeleweka kwa wanaoelewa, hao wengine ni watoto tu wanakuletea usumbufu. Hata mambo ya "kubadilishiwa muundo / recategorization" hawayajui. Wasikupotezee muda.Sawa ni matatizo kidogo ya kiuandishi nitarekebisha
Wameniambia nitulie Kuna upungufu Wa waalimu na secondary hakuna nafasi ya lab technician ikipatikana watanijulidsha nikapiga mahesabu nikaona hakuna uhakika itapatikana lini nikaomba kwenda kujiendeleza kwa ngazi ya degree kwenye hiyo kozi ya maabara IKAWA huu ndo mwaka Wa tatu baada ya kurudi kutoka masomoni na figisu nyingine za kikazi ikashindikana ndo nikafikiria niende open kimyakimyaKipi kimekwamisha kubadilishiwa muundo?,
Sema naye mkono mfukoni Mwalimu,acha unyongeWameniambia nitulie Kuna upungufu Wa waalimu na secondary hakuna nafasi ya lab technician ikipatikana watanijulidsha nikapiga mahesabu nikaona hakuna uhakika itapatikana lini nikaomba kwenda kujiendeleza kwa ngazi ya degree kwenye hiyo kozi ya maabara IKAWA huu ndo mwaka Wa tatu baada ya kurudi kutoka masomoni na figisu nyingine za kikazi ikashindikana ndo nikafikiria niende open kimyakimya
Mimi nilianza kuajiriwa kwa Cheti Cha ualimu nikajiendeleza kwenye laboratory science and technology kwania ya kuhamia secondary kama lab technician lakini naona imekuwa ngumuInawezekana kabisa kama unapenda kufanya kazi shulen tena usichelewe kwenda mwenyewe nilisoma diploma hiyo hiyo na nikaajiliwa na nimebadilishiwa muondo sema mm wakati naajiliwa nilikuwa tayari nina degree kwahiyo nilipodhibitishwa tukaanza mchakato but inahitaji force kidogo coz local mambo yake wanayapeleka kilocal local