hakuna ushauri unaotolewa kwa Mtu ambaye yeye mwenyewe hana chochote chakuanza nacho au ambacho hafikiri kukifanya.. Siku zote Ushauri ni ujazilizo wa kile ambacho tayari unacho Kichwani au Unafikiria kukifanya. Sasa Mtu hawezi kuja from no where akaanza kukupa ushauri wa Ndoto zake wakati huenda siyo Ndoto zako Pia. Kumbuka Unachowaza siyo Ninachowaza , Pia kile Unachotamani kuwa siyo Ninachotamani Kuwa ila naweza kukuongoza kuanzia pale ambapo wewe umeanza..