me pia nipo kwenye hali kama ya kwako mkuu........kuna binti mzuri kiukweli ana miaka 20[ninamzidi kama miaka 5] kwa sasa ila ananipenda sana na yupo radhi afanye chochote ili tu kunifurahishaWakuu habarini za asubuhi.
Kama kijielezavyo kichwa cha habari hapo juu, hekima zenu zinahitajika kutoa ushauri juu ya jambo naloenda lielezea hapa chini.
Mathalan una mchumba na umekwishamtolea barua na ushaanza mlipia mahari lakini siku zijazo ukakutana na binti mwenye sifa kuliko mchumba uliyemtolea barua.
Na huyo binti akakupenda akawa radhi kuolewa hata mke wa pili au wa tatu, pia kwa uwezo aliokuwa nao ni binti aliyeonesha willing ya kukusapoti katika harakati zako za kibiashara na akaanza kufanya hivyo kwa kuwekeza fedha zake kwako na akawa yuko willing kukupa uongoze anavyomiliki.
- Binti wa pili uliyekutana nae sifa zake ni uzuri, familia yenye nguvu kiuchumi, yeye mwenyewe ana nguvu kiuchumi pia yuko romantic kupitiliza. Ila kiumri amekuzidi kama miaka miwili. Kasoro zake ni anadeka sana na yuko sensitive sana kitu kidogo analia, pia mkigombana hachelewi kujaribu kujiua yani ana maamuzi ya kujiumiza.
- Na kwa yule binti unayetarajia kumuoa uliyemposa ni mzuri pia, uchumi hana yeye wala familia yake, ni mdogo sana kiumri kwako yani ni teenager (miaka 19) pia hata kimaamuzi ni mdogo/mtoto.
Kasoro zake ana maamuzi ya kukurupuka, ana mihemko sana, mropokaji pia ana hasira kupitiliza.
Kwa wewe utachukua uamuzi upi? Je, utaendelea na mbachao ama utafuata mswala upitao uufanye mbachao!?
Na ukizingatia bado miezi mitano ndoa yako na uliyemposa ifanyike.
Na uliyekutana nae licha ya kujua una mtu tena umemwambia una mke kabisa yeye ameridhia kuwa mke wa pili.
Huyo wa kwanza kama kaanza kusumbua nje ya ndoa atakuja kusumbua zaidi akiwa ndani, apigwe tu chini, akijiua kisa mapenzi shauri lake sasa.mkuu inaelekea kampeni za mental health is real huwa hutokei kabisa
Wazee fanyeni maisha jamani, mapenzi yapo tu, mnaleta hisia kwenye utafutaji naona, pigini chini hivyo vitoto visivyo na hela, vitakuja kuwakimbia wakikutana na sisi mafogo, shauri zenu.me pia nipo kwenye hali kama ya kwako mkuu........kuna binti mzuri kiukweli ana miaka 20[ninamzidi kama miaka 5] kwa sasa ila ananipenda sana na yupo radhi afanye chochote ili tu kunifurahisha
ana mambo ya kitoto kidogo kwa mfano hawezi kukushauri jambo lolote la kimaisha zaidi akili yake ime-base kwenye sex tu na kuwaza mambo mengi kuhusu kuoana
ila kuna pisi nyingine ni mwalimu wa secondary na inanipenda kuliko maelezo ananisaidia mambo mengi sana,jana katoka kunilipia ada ya masomo ili niendelee na masomo.......kiukweli ni mtu anaye nipa kampani sana kwenye harakati zangu za kimaisha na kamwe hawezi kuniona nasononeka kivyovyote vile........bado sijamwambia kuwa alinikuta na mahusiano mengine ila ashanifumania nachat na kale kabint aliumia sana,akanambia nifanye yote ila nisijaribu kumuacha
kiukweli nipo njia panda kama ya kwako
Piga Chini wote hakuna wake hapoWakuu habarini za asubuhi.
Kama kijielezavyo kichwa cha habari hapo juu, hekima zenu zinahitajika kutoa ushauri juu ya jambo naloenda lielezea hapa chini.
Mathalan una mchumba na umekwishamtolea barua na ushaanza mlipia mahari lakini siku zijazo ukakutana na binti mwenye sifa kuliko mchumba uliyemtolea barua.
Na huyo binti akakupenda akawa radhi kuolewa hata mke wa pili au wa tatu, pia kwa uwezo aliokuwa nao ni binti aliyeonesha willing ya kukusapoti katika harakati zako za kibiashara na akaanza kufanya hivyo kwa kuwekeza fedha zake kwako na akawa yuko willing kukupa uongoze anavyomiliki.
- Binti wa pili uliyekutana nae sifa zake ni uzuri, familia yenye nguvu kiuchumi, yeye mwenyewe ana nguvu kiuchumi pia yuko romantic kupitiliza. Ila kiumri amekuzidi kama miaka miwili. Kasoro zake ni anadeka sana na yuko sensitive sana kitu kidogo analia, pia mkigombana hachelewi kujaribu kujiua yani ana maamuzi ya kujiumiza.
- Na kwa yule binti unayetarajia kumuoa uliyemposa ni mzuri pia, uchumi hana yeye wala familia yake, ni mdogo sana kiumri kwako yani ni teenager (miaka 19) pia hata kimaamuzi ni mdogo/mtoto.
Kasoro zake ana maamuzi ya kukurupuka, ana mihemko sana, mropokaji pia ana hasira kupitiliza.
Kwa wewe utachukua uamuzi upi? Je, utaendelea na mbachao ama utafuata mswala upitao uufanye mbachao!?
Na ukizingatia bado miezi mitano ndoa yako na uliyemposa ifanyike.
Na uliyekutana nae licha ya kujua una mtu tena umemwambia una mke kabisa yeye ameridhia kuwa mke wa pili.
Hamna kaka ushauri lazima.Fanya utakalo mkuu, mana tayari una maamuzi yako na huwezi kukubali kushauriwa tofauti na unavyotaka.
wa kujiua ni wapili ndo mwenye hyo tabiaHuyo wa kwanza kama kaanza kusumbua nje ya ndoa atakuja kusumbua zaidi akiwa ndani, apigwe tu chini, akijiua kisa mapenzi shauri lake sasa.
Halafu ni mmaasai mwenzako sasa.Atakunishwa nazi we muache ajae kwenye mfumo
Aliyeposwa ndio wakwanza.Endelea na uliyemposa, huyo wa kwanza tuachie sisi ila ni booonge la waifu matirio
Mkuu wanawake wazuri wapo tena wenye sifa nzuri kikibwa uridhike tu na ulie nae.Wakuu habarini za asubuhi.
Kama kijielezavyo kichwa cha habari hapo juu, hekima zenu zinahitajika kutoa ushauri juu ya jambo naloenda lielezea hapa chini.
Mathalan una mchumba na umekwishamtolea barua na ushaanza mlipia mahari lakini siku zijazo ukakutana na binti mwenye sifa kuliko mchumba uliyemtolea barua.
Na huyo binti akakupenda akawa radhi kuolewa hata mke wa pili au wa tatu, pia kwa uwezo aliokuwa nao ni binti aliyeonesha willing ya kukusapoti katika harakati zako za kibiashara na akaanza kufanya hivyo kwa kuwekeza fedha zake kwako na akawa yuko willing kukupa uongoze anavyomiliki.
- Binti wa pili uliyekutana nae sifa zake ni uzuri, familia yenye nguvu kiuchumi, yeye mwenyewe ana nguvu kiuchumi pia yuko romantic kupitiliza. Ila kiumri amekuzidi kama miaka miwili. Kasoro zake ni anadeka sana na yuko sensitive sana kitu kidogo analia, pia mkigombana hachelewi kujaribu kujiua yani ana maamuzi ya kujiumiza.
- Na kwa yule binti unayetarajia kumuoa uliyemposa ni mzuri pia, uchumi hana yeye wala familia yake, ni mdogo sana kiumri kwako yani ni teenager (miaka 19) pia hata kimaamuzi ni mdogo/mtoto.
Kasoro zake ana maamuzi ya kukurupuka, ana mihemko sana, mropokaji pia ana hasira kupitiliza.
Kwa wewe utachukua uamuzi upi? Je, utaendelea na mbachao ama utafuata mswala upitao uufanye mbachao!?
Na ukizingatia bado miezi mitano ndoa yako na uliyemposa ifanyike.
Na uliyekutana nae licha ya kujua una mtu tena umemwambia una mke kabisa yeye ameridhia kuwa mke wa pili.
Aliyeposwa ndio wakwanza.
Unamaanisha wapili apigwe chini?
Namzungumzia huyu hapaNa huyo binti akakupenda akawa radhi kuolewa hata mke wa pili au wa tatu, pia kwa uwezo aliokuwa nao ni binti aliyeonesha willing ya kukusapoti katika harakati zako za kibiashara na akaanza kufanya hivyo kwa kuwekeza fedha zake kwako na akawa yuko willing kukupa uongoze anavyomiliki.
Usioe mwanamke kw ajili ya kipatoHalafu ni mmaasai mwenzako sasa.
ushauri bora kabisaMi sio mtaalamu, ila nashauri ridhika na ulienaye. Hao kila siku wanakujaga wapya.
Huyo wa pili alikua wp wakati ww unatafuta jiko, atulize komwe au aende love connect kutafuta bwana.
Siku ya harusi utaona vyombo vitakavyokuja. Utatamani siku zirudi nyuma.