Ushauri kuhusu mabati ya Alaf

Wa kusoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
3,454
Reaction score
2,984
Naombeni kujua lipi chagua sahihi kwa mabati ya Alaf gage 30 kati ya migongo mipana na migongo midogo ipi nzuri kuezekea Nyumba ya kawaida?
 
Why Gage 30? Gage standard kwenye nyumba ni 28 mkuu,
Migongo mipana inapendezesha sana nyumba, chukua charcoal grey
 
Gage 28 ndio safi Mkuu, Mimi nilichukua Gage 30 wiki mbili zilizopita Pale kiwandani kwao kutokana Na pesa Yangu..!! Migongo mipana inapendeza zaidiii..!!
 
Wabongo tunavyopenda kuigana hiyo Charcoal grey sasa hivi kila anaejenga rangi ya bati ni hii hii
 
Mnaweza kutuwekea picha ya rangi na muundo tukapata kuelewa?
 
Gauge 28 ndio nzuri japo bei yake imechangamkaa.
 
Gage 28 ndio safi Mkuu, Mimi nilichukua Gage 30 wiki mbili zilizopita Pale kiwandani kwao kutokana Na pesa Yangu..!! Migongo mipana inapendeza zaidiii..!!
Vipi hiyo Gauge 30 si kidogo wenye kipato Cha kuunga si inatosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…