Ushauri: Kuhusu laptop ya kununua

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
130
Habari wapendwa!
mwenzenu nataka kununua Laptop ndogo(min laptop) kwa shughuri zakawaida tu, kubwa nikusomea through internet na pia kuandaa notes as a teacher!
sijawah miliki laptop yangu tangu nizaliwe Honest!
nipo dodoma ! kikubwa ninachohitaji kwanza kampuni ipi nzuri, inapatikana maeneo gani na bei gani?
lakini naskia kuna kitu kinaitwa window natakiwa ninunue pia sifaham ntapata wapi kwa bei gani pia ipi nzuri, so kama kuna mengine natakiwa kununua as a content of of please guys NAOMBA KUJUZWA NISIJE IBIWA AU TESEKA BURE.
Natanguliza shukrani ndugu zangu
 
wadau njooni! mnielimishe
 
tafuta uzi wa laptop ipi inafaa wa ningaR kama sijakosea...
 
mkuu kuhusu window, kila laptop inakuja na window..na kama Hilo pia ulikuwa hufahamu nakushauri utaftte mtu anaejua mwende wote mkanunue otherwise elimu utakayopata hapa kwa siku moja itakua ngumu kuishika Leo leo
 
Habari wapendwa!
mwenzenu nataka kununua Laptop ndogo(min laptop) kwa shughuri zakawaida tu, kubwa nikusomea through internet na pia kuandaa notes as a teacher!
  • Sikushauri ununue mini laptop, japokuwa wewe umependekeza hiyo.
  • Sababu baada ya kuijua vyema computer utahitaji kubadilisha na kutafuta nyengine.
  • Epuka kufanya marudio, nunua laptop yenye kioo angalau 15.6"
sijawah miliki laptop yangu tangu nizaliwe Honest!
nipo dodoma ! kikubwa ninachohitaji kwanza kampuni ipi nzuri, inapatikana maeneo gani na bei gani?
  • Hapa ungetaja bajeti yako tungekushauri vyema Laptop ya kununua ni ipi
  • Zipo laptop za aina nyingi kuanzia tsh 450,000/- hadi 3,000,000/- {yes milion tatu au zaidi}
naskia kuna kitu kinaitwa window natakiwa ninunue pia sifaham ntapata wapi kwa bei gani pia ipi nzuri,
  • Upo sahihi laptop zaweza kuwekewa Operating system kama Ms Windows, Linux, OSX n.k
  • Mahala utakaponunu waambie wakuwekee OS
Karibu

 
Sijaelewa kabisa uhusiano wa life yako kuwa in danger na kununua laptop. Anyways tafuta uzi humu kuhusu laptop nafikiri utakuwa msaada mkubwa sana kwako. Samahani lakini
 
Sijaelewa kabisa uhusiano wa life yako kuwa in danger na kununua laptop. Anyways tafuta uzi humu kuhusu laptop nafikiri utakuwa msaada mkubwa sana kwako. Samahani lakini

Heading nikuta tention tu ila nimekupata thanx
 
Sijaelewa kabisa uhusiano wa life yako kuwa in danger na kununua laptop. Anyways tafuta uzi humu kuhusu laptop nafikiri utakuwa msaada mkubwa sana kwako. Samahani lakini

umeuliza swali zuri mkuu! alafu nina mashaka kweli as a mwalimu he know nothing about computers? Labda kweli!
 
mkuu kuhusu window, kila laptop inakuja na window..na kama Hilo pia ulikuwa hufahamu nakushauri utaftte mtu anaejua mwende wote mkanunue otherwise elimu utakayopata hapa kwa siku moja itakua ngumu kuishika Leo leo

Ushauli mzuri nitazingatia
 

BIG UP maelezo mazuri nimefarijika ntazingatia vyote
ubarikiwe
 
umeuliza swali zuri mkuu! alafu nina mashaka kweli as a mwalimu he know nothing about computers? Labda kweli!

Sidhani kama kuna sehem katika maelezo yangu nimesema siijui computer! ila any way
pitia tena maelezo yangu utanielewa
 
Kwa kuwa hujawahi kumiliki laptop napenda kukushauri yafuatayo:-
1.Nenda kwenye maduka yanayoeleweke mfano mlimani city au maduka ya posta hii itakusaidia kupata original laptop na yenye quarantee.
2. Sikushauri kununua mini laptop kwa sababu karibu zote hazina sehemu ya CD rom (mkebe wa cd) hii itakufanya uichukie laptop yako kwa muda mfupi, pia italazimu kila ukitaka kuinstall programmme yoyote lazima iwe kwenye flash au utalazimika kununua external cd rom hii itakuwa gharama na usumbufu wa kuibeba.
3.Pia usinunue laptop mini kwa sababu keyboard/battani zimebani kutokana na udogo wake hivyo kukusumbua wakati wa kununua.
4. Kwa sasa usinunue laptop inayo operate under 64 bit itakusumbua kuinstall software nyingi nunua ya 32 bit ndio programmme zake hupatikana kiurahisi ingawa ni technologia ya zamani kidogo ila utaenjoy sana.
5.Chukua ambayo imekuwa installed windows 7 ultimate ina muonekeano mzuri, kwa wewe sikushauri laptop yenye windows 8 itakusumbua na utakosa msaada kwa sababu sio common.
6. Kuna aina ya laptop usinunue mfano Acer, go for hp,dell, lenova, samsung, toshiba ect.
7. Nunua computer ambayo inasupport wireless, bluetooth, wifi utaenjoy sana.
8. Nunua computer yenye hard drive capacity ya atleast 200gb, Random Access memory (Memory) ya atleast 2GB, processor speed atleast 1 ghz.
 
 
Sijaelewa kinachoendelea, ni nani amechange tittle ya huu uzi! inawezekanaje? nipeni maelezo aliyefanya hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…