taurus5270
Member
- Dec 31, 2013
- 79
- 12
biashara ya magariya kuagiza kama unauzoefu mtafute anaejua aupe details na ikiwezekana akuagizie/ vinginevyo utapigwa sana
Sasa kama hayuko Sahii, Wasilisha ukweli wenyeweHauko sahihi.
Mkuu kwa gari hiyo andaa Shs.3,551,617/= kuligomboa bandarini,pia Shs.300,000/= port charges na Shs.250,000/= gharama za wakala atakayekutolea hilo gari. Likishafika uraiani kuna motor vehicle registration fee,kama Shs.220,000/=,Shs.150,000/= road licence na Bima kama Shs.220,000/=,upo????,jipange mwanangu kila kitu kinawezekana.Kwa hiyo jumla kuu itakuwa($1992*1630)+3,551,617+300,000+250,000+220,000+150,000+220,000)=8,038,577/=,kila la kheri Mkuu
hivi amekwambia amepataje hzo hela? Au unajua vitega uchumi vyake?Hivi hzo hela kama angeamua kuzizalisha angepata faida mara ngapi ?? Hzo pesa angeweza fungua bonge moja la car wash na akapiga hela nyingi tu kwa mwezi. Hyo faida ndio anunulie gari. Au ingelikua ni mm..kuliko nitoe hzo pesa ni aheri ninunue gari iliyokua katka hali nzuri kwa mtu humu ndani TZ nyngne nifanyie cha maana. Kwan shida si usafiri ?? Gari ziko kibao mjini hapa.
ndugu ucjaribu nunua gari show room utabakiwa na bodi bora ununue kwa mshikaji unaye mjua
Mkuu we n nan kumpangia mtu matumiz ya pesa zake..unajua hilo gari litamuingizia kiasi gani au nyie ndo wa mnaufikir gar m luxury tu.by the way gari used ya tanzania ni magonjwa kununua bora ujipange uagize japan
ndugu ucjaribu nunua gari show room utabakiwa na bodi bora ununue kwa mshikaji unaye mjua
Ingia kwenye net chagua gari, andika contact zako, watakupa bei ya kufika dar yaani cif. Ukikubaliana na offer zao wanakutumia account yao ya tanzania crdb but utaongeza dola 40 kama tt. Baada ya malipo una scan hiyo bank slip na kuituma kwao. Then watakupa utaratibu na muda wa kupokea gari yako hauzidi siku 40.
Kwa msaada zaidi wasiliana na ofisi zao dar. Mim nimefanya nao ni waaminifu. Au npm nikujuze zaidi
Kodi ya TRA carina inaweza kuwa tsh ngapi kama ipo ndani ya miaka 10