king pierre
Member
- May 30, 2016
- 82
- 28
Wadau naomba mwenye idea na biashara ya duka la simu anisaidie namna bora ya kuifanya pamoja na changamoto zake.Natanguliza shukran zangu.
Ukumbuke kuweka simu originalWadau naomba mwenye idea na biashara ya duka la simu anisaidie namna bora ya kuifanya pamoja na changamoto zake.Natanguliza shukran zangu.
bai kama ni hivyo biashara haitakusumbua kabisa ila changamoto itakuja kwenye return ila usikubali kuuza simu ambayo return itarudi kwako return irudi kwa kampuni mfano kama tecno ukishamuuzia mteja simu ikipata matatizo mteja mwenyewe ndio anaenda kwenye ofisi za tecno na kuhudumiwa huko wewe haikuhusu
kitu kingine unaetarajia kumuweka dukani ujaribu kufanya nae mkataba wa kutumia akili usicshangae mwisho wa mwezi unapiga hesabu ukawa maefaidika yeye tu yani muekee mshahara kulingana na mauzo yake yani unaweza kumwambia kila simu atakayouza ya kwake ni 5000 na mwisho wa mwezi unampigia hesabu ameuza simu ngapi na unazidisha kwa 5000 kisha unampa chake
pia kama utauza original ujitahidi na mtaji wa kutosha na ujitahidi mzigo usikauke dukani na uwe unatoa vitu vidogo vidogo free kwa mteja anaenunua simu kama protector n.k

Nashukuru sn mkuuHongera mkuu ila location ni jambo la kuzingatia sana unapoanzisha biashara hiyo. Hakikisha unapata eneo ambalo maduka ya simu yamefutana,usithubutu kujitenga na wenzako hiyo ndio sumu ya biashara hiyo. Kuhusu kupata mzigo wa kuaminika,wauzaji wengi wa simu za jumla pale aggrey ni waaminifu kama kitu ni kopy utaambiwa kama original unawekwa wazi. Ushauri wangu ni vizuri ukaenda na mtu ambaye anaijua biashara hiyo vizuri vinginevyo utapigwa kwenye bei,mwisho jitahidi kuweka na accessories dukan kwako,zinalipa sana wakati mwingine kuliko hata simu
Nashukuru sana mkuuwewe mwambie kua namba amenipa kahtan
Vp kiongozi ulifanikiwa kuianzisha biashara hii?Ok ni hvi mkuu
1. mzgo ntakua nanunua hapa hapa nchini sanasna dsm-kariakoo
2.nataka kuuza cm original tu(japo cna utaalam wa kutofautsha na copy)
3.Natarajia kuuza mikoani, kama dodoma, shinyanga.
4.Ndio inaonekana watu wanazikubali zaidi cmu original maeneo haya
5. Ntauza mimi kwa mda wa mwez m1 then ntaweka mtu.
Nashukuru mkuu kwa ushirikiano.
Mimi nahitaji kufungua apple store ndogo niwenauza sim na vifaa vya iPhone ilaninashindwa kukadiria mtaji, nahitaji mtaji wa kiasi gani kwa kuanzia?biashara ya simu inategemea na utekelezaji wa bishara yako ya simu kama ifuatavyo
1.mzigo unanunua mwenyewe toka nje au unanunua hapahapa
2.aina simu unazouza no original tu au ni mchnaganyiko au ni simu copy
3. wateja gani unaenda kuwauzia yani maeneo ya biashara mana ukiuza poster na kkoo ni sehemu tofauti ya wateja
4.vipi return za simu unaponunua wanazipokea?
5.muuzaji ni wewe mwenyewe au unamuoka mtu?
ukishaweka vitu hivyo katika wazi naweza kukusaidia.