Kwanza napenda kuwapa pole watz wenzangu kwa majukumu ya kulijenga taifa letu. Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa na kampuni moja hapa Arusha lakini napenda sana niweze kujiajiri na kusaidia wengine kupata ajira. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kujiingiza katika kilimo, ombi langu kubwa kwenu wadau naomba mnisaidie yafuatayo
1.ni maeneo gani ambayo yanafaa kuwekeza kilimo cha mazao ya chakula
2. Gharama za kuandaa shamba hadi kuvuna mazao na nataka nianze na heka 50
3. Ni changamoto gani ambazo zinakabili sekta ya kilimo
5. Mambo gani haswa ya kuzingatia kabla ya kuwekeza kwenye kilimo
Tafadhali wadau wanaoelewa maswala ya kilimo naombeni mnisaidie..nashukuru na Mungu awabariki wote.
hUIJUI JOGRAFIA YA NCHI YAKO? AU MTOTO WA GAMBA!
MIKOA INAYOLIMA MAZAO YA CHAKULA NI
IRINGA,
MOROGORO,
RUKWA,
MWANZA,
KIGOMA,
MBEYA.
UKIFIKA OFISI ZA TAKWIMU MKOANI UTAPATA INFORMATION ZOTE.
Mm nakushauri uje kgm kwani hali c mbaya kwa mazao ya chakula yote yanakubali