Ushauri kuhusu inverter. za Solar

ISACOM

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
546
Reaction score
416
Kwa yeyote anayejua kuhusiana na inverter...hivi kama haiwaki ile feni...ina Maana Itakuwa imeharibika?..lakini umeme unawaka kama kawaida,,Kompyuta natumia kama kawaida....sasa nataka kujua kama feni kutowaka ndo imeharibika?..Nisaidieni kwa hilo....

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Feni kazi yake ni kufanya cooling ya hiyo invertor. Yaani kuipoza joto linapopanda. Kwahiyo feni kutokuwaka kuna mawili: 1. Joto sio kubwa hivyo haitajiki machine kupozwa. 2. Inawezekana ikawa imeharibika, na hii ungegundua tu kwani joto likiwa kali sana invertor ingezimika yenyewe. Haya ni maoni yangu kutokana na experience niliyopata katika utumiaji wa solar power.
 
hakuna madhara yoyote kwa feni kutofanya kazi,mf. mimi nimedisconect fen mwaka wa 3 sasa na inapiga mzigo kama kawaida.awali ilikuwa inawahi kumaliza moto ktk betri ila sasa shwari baada ya kuitoa
 
hakuna madhara yoyote kwa feni kutofanya kazi,mf. mimi nimedisconect fen mwaka wa 3 sasa na inapiga mzigo kama kawaida.awali ilikuwa inawahi kumaliza moto ktk betri ila sasa shwari baada ya kuitoa

Mkuu kitaalam kudisconnect feni ni kosa.Unajua kila machine inapofanya kazi huwa inaheat na temperature hupanda na hapa ndio maana feni ikawepo na mara nyingi hizi feni huwa automatic yaani joto likipanda kwenye machine beyond lile lisilo na madhara basi feni inawaka yenyewe kupoza machine. Sasa kuidisconnect maana yake unaiweka invertor yako kwenye hatari ya kuharibika.Umesema umeshatumia zaidi ya miaka 3, lakini hii bado sio justification ya kwamba feni sio muhimu.Inawezekana load ya invertor yako sio kubwa ndio maana haipati joto kali,that means siku ikipiga mzigo mkubwa utaona umuhimu wa hiyo feni.
 
nakubali lakini unajua hizi invators za kichina zinaramba moto sana ndo maana nikafanya hivyo.natumia tv,laptop,na kuwasha taa mji wote maana natumia solar kubwa
 
Yeah imekuwa Sawa saizi,,kumbe kweli feni inawaka baada ya inverter kupata heat..feni inazunguka na pia mambo yapo ok,,Thanx kwa ushauri wenu...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Je ina inahitajika solar plate ngapi iweze kuwasha mpaka fridge,,na betri ukubwa gani kiuwezo..niweze kuwasha vyote kama umeme wa Tanesco
...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
kwa betri kuwasha fridge utakuwa unauonea mfumo wa solar.hata kama itamudu ni kwa muda mfupi sana.
 
kwa betri kuwasha fridge utakuwa unauonea mfumo wa solar.hata kama itamudu ni kwa muda mfupi sana.

Inawezekana ila integemea na ukubwa wa mfumo, kuna jamaa yangu anatumia mpaka deepfreezer na fridge mbali na taa na vitu vingine.
 
Inawezekana ila integemea na ukubwa wa mfumo, kuna jamaa yangu anatumia mpaka deepfreezer na fridge mbali na taa na vitu vingine.

Fanya utujuze anatumia plate ngapi na betri saiz gan?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Kwa wanaojua mambo ya solar je naweza kutumia solar ya uwezo kiasi gani na kama gharama zake inaweza kuwa kiasi gahni kwa nyumba kubwa ya vyumba vitatu na ambayo kila kitu kunatumia umeme kama vile jiko kubwa la kupikia lenye oven,yaani kwa kifupi ni nyumba ambayo inavifaa vingi vya kisasa vinavyotumia umeme kuanzia jikoni,mashine za kufua nguo,muziki mkubwa,screen kubwa,jokofu kompyuta na makolokolo mengi ya kidigitali
 

boss apo andaa kama usd 15,000
http://www.wholesalesolar.com/solarpowersystems/large-home-5-off-grid-solar-power-system.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…