Me baada ya demu kuzingua halafu nikajua kabisa sababu ya kuniacha Ni kutokua na pesa ilinifanya nipambane Sana na sikuwahi kumwamini Tena mwanamke na baada ya yeye kunitafuta huku analia kua alibugi ikanipelekea nililete mezani lakini nashukuru ushauri wenu Ni mzuri maana maana unaweza kuingia mkenge Tena kwa Mara ya pili asanteni