Ushauri kuhusu hii meseji


nimesikia tu upepo wa uPOPOMA!
 
Habari zenu wa kuu nimepokea mesej ina sema your no has won 1,000,000 Dollars in T.MOBILE PROMO USA to claim send your name, phone no,job, sex to wakaweka email yao je hawa ni matapel au ni kweli

Wahuni kama wahuni wengine ushinde hizo hela kwa lipi.
 
Utashindaje bahati nasibu ambayo hujawahi shiriki?Hao ni wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…