WanaJF naombeni ushauri ni crytocurrency ipi nikiwekeza kwa mtaji wa laki moja baadaye inaweza nipatia pesa kwa kipindi Cha miaka 2.
Pia, ni plartform gani naweza kuzipata kununua eos, chain link, tezos, Monera, na zingne hasa hzi coin zinazokuakua.
Sent using
Jamii Forums mobile app