S SuperSub Member Joined Aug 19, 2017 Posts 51 Reaction score 62 Dec 23, 2017 #1 Nina gari aina ya Starlet ya 1999 Lipo kwenye hali nzuri AC kila kitu je UBA wanaweza kunikubalia kulisajili? maana kuna jamaa hapa kaniambia wanasajili kuanzia magari ya mwaka 2000. Naomba kujua ukweli.
Nina gari aina ya Starlet ya 1999 Lipo kwenye hali nzuri AC kila kitu je UBA wanaweza kunikubalia kulisajili? maana kuna jamaa hapa kaniambia wanasajili kuanzia magari ya mwaka 2000. Naomba kujua ukweli.