Unanunuaje Altezza 2022? Gari zifuatazo sio za kununua kwa Sasa
- Nadia
- Ipsum
- Gaia
- Altezza
- Verossa
- Starlet
- GX 100
- Vista
- Carina
- Grandis
- Cami
- Funcargo
- Spacio Old
Ukiona mtu ananunua hizo gari Leo hii basi jua ni mshamba wa magari aliyepitiliza na hajui kitu