USHAURI: Kozi ya Natural Resources Management ina soko la ajira?

contask

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2021
Posts
924
Reaction score
1,902
Natarajia kwenda kusoma course ya Natural Resources Management, naomba ushauri wenu vipi ipo marketable?
 
ila vijana mtakufa kwa stress, Ualimu wenyew sikuhiz sio Marketable, sembuse hizo course nyingine...
Kama unajiona huna akili za maisha kwamba uki graduate huwez kuingia mtaani kujiajiri mwenyew, basi nakushauri kasome course ya Ualimu, pamoja kwamba ualimu pia sikuhiz sio rahis kupata ajira but somehow unaweza kubahatisha kuajiriwa...
 
Mkuu ,Hongera .Maana elimu ata usipoajiriwa lakini inasaidia sana hata tu kwa kukupa exposure.Ningekushauri usome cose mojawapo kati ya hizi.
1.Education (hasa phys na math -kama una vigezo.)
2.Project planning.
3.Education in special group.
4.Information Technology.
Lakini pia ni vema usome kitu chenye roho inapenda ili huko mwishoni usije ukaanza kumnyooshea mtu kidole maana ajira pia ni probability unaweza leo ukaambiwa soma education ina ajira ww unakuja kumaliza coze ikawa sio marketable na ukaona wenzako wa wild life management wanaajiriwa ukasema flani alinipoteza.Lakini pia angalia na vigezo vifuatavyo.
1.uwezo(mkopo) coze zenye priority.
2.frsa(government and private)
3.Competition mfano unasoma public relation huku kwenu wote wauza kashata kama kwetu aisee inakua ngumu kutoboa.

NB:Everything is possible unless some one is given opportunity.
 
nashukuru mkuu

NB:Everything is possible unless some one is given opportunina
 
Soma hiyo course br u will thank me later.
Kama unataka facts zaidi nistue
 
Natarajia kwenda kusoma course ya Natural Resources Management, naomba ushauri wenu vipi ipo marketable?
Moja utujuze je kozi hiyo unataka kusoma level ipi, masters au undergraduate????
Kama ni masters, utuambie undergraduate ulisoma kozi gani
Utuambie upo kazn yaani umeajiriwa au ni fresh from school???

Tuanze na hapo kwanza

Pili, Tanzania hatuna undergraduate kwenye vyuo vya kawaida wanaotoa hiyo kozi zaidi ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA, ila upande wa masters utaipata UDOM, UDSM, OUT

Hii kozi nimeisoma, naifahamu in and out, nafahamu kazi utapata wapi, nafahamu changamoto zake
Nitafute
 
Soma hiyo course br u will thank me later.
Kama unataka facts zaidi nistue
Kaka fursa zake zikoje mimi pia natamani kuisoma japo ni mwajiriwa idara ya Elimu nina diploma ya ualimu sec nataka nisome hii kozi kwa lengo la kuhama kada naomba ushauri wako zaidi
 
Moja utujuze je kozi hiyo unataka kusoma level ipi, masters au undergraduate????
Kama ni masters, utuambie undergraduate ulisoma kozi gani
Utuambie upo kazn yaani umeajiriwa au ni fresh from school???

Tuanze na hapo kwanza

Pili, Tanzania hatuna undergraduate kwenye vyuo vya kawaida wanaotoa hiyo kozi zaidi ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA, ila upande wa masters utaipata UDOM, UDSM, OUT

Hii kozi nimeisoma, naifahamu in and out, nafahamu kazi utapata wapi, nafahamu changamoto zake
Nitafute
Mimi nimesoma bachelor of education na geography kama teaching subjects. Niliitamani sana kusoma hasa Kwa pale udom (masters degree) but naona kama sitakuwa promoted kwakua Nina education
 
Back
Top Bottom