Ushauri: Kesho CHADEMA wabebe bendera za taifa

Ushauri: Kesho CHADEMA wabebe bendera za taifa

Mie natarajia kumwomba mwigulu nchemba ile anayoivaaga shingoni.
 
polic mkoa wa tmk wamepiga marufuku hayo maandamano. source.radio times.

kwani wameombwa kibali? au wameombwa kutoa ulinzi! mimi ninavyofahamu policcm huwa wanapewa taarifa tuu, kama wao ni wanaume waje kuzuia kuanzia pale ubungo tukiwa kwenye magari, mkutano umeandaliwa kisayansi huu, waache kufikiri kwa kutumia masaburi
 
Mkuu andazi la kuchoma mi naona bendera ya Taifa iwepo lakin za vyama nazo ziwepo kwa wingi 2 koz ile bendera ya taifa ina rangi za kimagambamagamba fulani hivi KIJANI na NJANO so bendera za CHADEMA na NCCR ndio zitumike.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,
kwa upande wangu ningeshauri kesho kwenye hayo maandamano yanayosemekana kuwa ya wapinzani wote waliokubali mwaliko kutoka chadema basi ningeshauri zibebwe bendera za taifa lakini nguo za vyama zibaki zilezile za kawaida kama magwanda na scarf.
Huo ndo ushauri wangu!

Naunga mkono hoja 100%-)
 
Cuf wanalia lia kwani temeke wameinunua..cdm jiandaeni na hujuma toka ccm B hapo kesho..ili wadhalilike
 
naomba kujua maandamano yanaanza sa ngapi na mkutano unaanza sa ngapi
 
naomba kujua maandamano yanaanza sa ngapi na mkutano unaanza sa ngapi

mkuu ni kuanzia saa 6 pale ubungo kwa magari na boda boda, alafu safari mpaka Tazara, kuanzia hapo ni kwa mguu mpaka viwanja vya Temeke mwisho
 
Back
Top Bottom