Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
ni wazo Zuri! mtaji unao kiasi gani?? inatakiwa Leseni ya TCRA je unayo tayari?.kuna Hardwares zinahitajika za Studio kwa kuandaa vipindi na za kupeleka from studio to Youtube network je umeshaviandaa??.Channel promotion na kuifanya ijulikane na Walaji na watakaoleta matangazo ili upate pesa umejipangaje???. Nna weza kukusadia kwenye Design+hardwares zote na kwenye andaa vipindi ,marketing etc ni PM tuyajengeWakuu habari?
Nina hili wazo la kufungua youtube chanel ambayo content yake itakuwa mambo ya ujenzi, lakini kabla ya kulitekeleza, naomba nipate mawazo yenu yatakayonisaidia nisipate hasara.
Timu yake itakuwa kama ifuatavyo:-
Naombeni ushauri, huyu mtu wa mauzo atatumia njia zipi, kuhakikisha hii program inaleta fedha za kujiendesha na faida?
- Mimi mwenyewe (CEO/chairperson)- kazi yake ni kutoa miongozo, vitendea kazi, ofisi, rasilimali fedha.
- Mtaalamu wa IT- kazi yake ni kucheza na chanel (youtube)
- Mtaalamu wa ujenzi (civil engineer)- Presenter
- Mchukua video (videographer) -kazi yake ni kurekodi video akiwa site
- Mtaalamu wa sheria- kushughulikia vibali, na nyaraka zote za kampuni
- Mtu wa mauzo- kuhakikisha fedha zote zilizowekezwa zinarudi kwa faida
Kwa mwanzo, mtu wa sheria na mauzo anaweza kupungua; kwa sasa nipo kwenye kupiga hesabu, kuhusu majengo na baadhi ya vitendea kazi vipo.Mbona hujaainisha gharama inayotakiwa ukaiweka?
Pia kwa kuanza naona uko na team kubwa itakutia hasara mengine unaweza kufanya mwenyewe mpaka utakapokuwa mkubwa
Wazo bado liko mezani, kuhusu leseni hakuna shida itatafutwa, jengo lipo tayari,na baadhi ya vitendea kazi vipo; kwa sasa natathmini nitapataje faida, na ni kwa muda gani na kwa njia zipi?ni wazo Zuri! mtaji unao kiasi gani?? inatakiwa Leseni ya TCRA je unayo tayari?.kuna Hardwares zinahitajika za Studio kwa kuandaa vipindi na za kupeleka from studio to Youtube network je umeshaviandaa??.Channel promotion na kuifanya ijulikane na Walaji na watakaoleta matangazo ili upate pesa umejipangaje???. Nna weza kukusadia kwenye Design+hardwares zote na kwenye andaa vipindi ,marketing etc ni PM tuyajenge
Nashukuru nitaifuatilia, changamoto za biashara zinaitaji uvumilivu, unaweza kuwa unapata hasara mara kwa mara, na kama final destination ukui-plan vizuri, inakuwa ni ngumu kuivumilia.Kuna Youtube Channel fulani nilikua nikifatilia kwa muda inaitwa "The Builders Home Tz". Ilikua ikiweka almost similar content. Kwa muda sasa sioni wakiweka new content. Unaweza pia kuitembelea ukajifunza kitu fulani cha kuboresha zaidi kwako. Kila la Heri Mkuu.